kingsejo
Member
- Apr 1, 2014
- 35
- 9
Wewe bado ni pimbi kabisa na hata hilo banda la sungura hufikii kimo cha wake.
Duuuuh haya bwana
Wewe bado ni pimbi kabisa na hata hilo banda la sungura hufikii kimo cha wake.
nilivyo na makeke ulifikiri bonge la tolu eeeh......proudly #TeamWafupi
Hata uwe mrefu kama Hasheem Thabeet lkn kama hauna pesa ndiyo utadharauliwa zaidi kwa kuitwa Ngongoti!
Mm isha shuhudia jamaa mfupiiii lkn ana pesa balaa mademu walikuwa wanamuita "Tall"yy anafurahi anawapa pesa!Urefu bila pesa watakuzushia wewe ni jini
Mkuu, 6" kwa sasa ni wachache sana. Huwa nikiwa kwenye umati napenda Sana kujipima, sifiki 6" lakini nikisimama ni wachache wanaonizidi.. Kweli kizazi kinazidi kuwa na watu wafupi.
mmmmh so futi tano ni mfupi
Duh! Futi tano na nusu yaani 5'5 au 5'6 ambayo ndo futi tano na nusu na ni tolu, basi kweli urefu ni mtazamo tu wa mtu. Mimi ni 5'10 na sijioni tolu. Kama kweli we ni tolu kama jamii inavyodhani, basi pata vipimo vyako sahihi. 5'6 sio tolu.
Mimi siyo mrefu nina cm 182 tu. Ni msikilizaji zaidi kuliko msemaji na huwa sipendi longolongo na story zisizoisha. Nilichojifunza ni kuwa watu wanaoongea sana ama wanawasema watu wengine au wanarudiarudia hadithi zilezile ila zinabadilishwa tu kidogo kuzipa mvuto zaidi. Ukikaa na mtu mwongeaji sana kwa muda akianza tu story utakuwa unajuwa anachokwenda kusema.
Hongera sana kaka! Urefu ndo ugonjwa wangu jamaniii
cm 177 ni futi ngapi...?
Huko ni kudhihakiwa na kukejeliwa, mtu anakuita tall wakati wewe unajua na tnajulikana kuwa ni short maana yake nini?
Luv you million times! # Warefu + black!
cm 177 ni futi ngapi...?
177cm = 5.8feets! Kibongo bongo hapo ndio mwanzo wa urefu kwa me!
tolu anatakiwa aanzie futi ngapi sasa