Wadada wa jf njooni hapa

Wadada wa jf njooni hapa

Kabisa

Wabongo hatuwezi long distance relationship.

Tumezoea kuloweka na kulowekana Kila Siku, kitendo cha kuishi mikoa tofauti na mpenzi wako ni kumpa sababu ya usaliti mpenzi wako
Na kuwapa wafujaji wa mfuje mkeo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Namchamba kutuliza maumivu, kwanini alinibantisha?
Aaah wee!
Hahaha............najua una cha kumpa kumtuliza hasira zake akikasirika 😜🏃🏃🏃
 
Hakika

Ulizoea kumpiga kimoja, wenzio wafujaji wanakesha wakimpiga nao usiku kucha

Akiamka asubuhi hata nguvu za kukutumia meseji ya good morning daddy anakosa 🙌😜
Anatuma saa sita umeamkaje?
 
Hahaha............najua una cha kumpa kumtuliza hasira zake akikasirika [emoji12][emoji125][emoji125][emoji125]
Gran pah em taratibu.
Si hicho nilichompa kumtuliza, aka ki bant.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakika

Ulizoea kumpiga kimoja, wenzio wafujaji wanakesha wakimpiga nao usiku kucha

Akiamka asubuhi hata nguvu za kukutumia meseji ya good morning daddy anakosa [emoji119][emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom