Wadada wa jf njooni hapa

Wadada wa jf njooni hapa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa yeye alini bant afu aka ni dump. Maskini mie.
Ngoja nimtafute wa kum bant na mie.
Kuwa na huruma Kwa Vijana wenzio 😅
 
Nilikuwa namfulia kila weekend namfanyia usafi ndani, siku moja nimebaki mwenyewe akaja mbeba taka akaniambia kuna mdada mwingine anamkutaga anampaga taka nyingi 😭😭😭
 
Yaan hapo Pa kuwa mbali, em kuweni specific.
Je km after 1 month mnakutana live, afu mna dissapear, had tena mwezi ujao.

Je imekaaje hii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa Wanandoa inaweza kufanya kazi, japo kuchapiwa hakuepukiki

Ila mkiwa wapenzi tu, jiandae kupewa Kadi ya mwaliko wa harusi ama kuona Whatsapp status baby wako akimpost baby mwingine 😜
 
Back
Top Bottom