ELI COHEN
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 9,460
- 28,821
...and when he misses u..temporarily
...and when he misses u..temporarily
Eh nimecheka 😹😹😹 kijana Hana pesa uyoNgoja nikupe huyu Anastasia21
Kabisa ukipotea tena una shida pahalaMambo ya kucheza pata potea katika Umri huu sio rahisi tena.
Waswahili wanasema "mgeni unapokwenda, sio wakati wa kurudi"
Kuuma njeKwahiyo huko Kenya, Bant ndiyo neno la Msimu lilolopo sokoni sasa (trending)
Kwahiyo lina maana ipi then??
Mawazo kuwa" Daslamu kuna heya"Embu tuambie ni kitu gani kilikutokea au likifanya kwenye mahusihano au ulikutana nacho na ukakifanya end of the day ukajiona mpumbavu baada ya akili yako kuwa sawa
The bar was so low tell us
Kujibu wenzako aaaaaah




Celibacy is my motto😳 haha I doubt that, you must be very horny the upwiru is kukukaba koo very tight.
Shukrani 🙏🙏Kuuma nje
Kukosea
Kufeli
Sahivi uko wapi kwani?Leo nimekuwa love coach:
Kama unajua unachotaka ni pesa kutoka kwa mwanaume uwe tayari na yeye chochote atakacho taka kutoka kwako maaana si umeaamua kum exploit acha na yeye avyonze.
Tatizo mnakuaga mna act kama a bitch ila mnataka muheshimiwe kama a lady, never ladies.
Angalia pia moody ya huyo banter wako
Vinginevyo uwe na mbio tu![]()




😹Leta you tube chanel nikusupportSure,
Siku moja niliwahi kukuambia am kinda special but not too smart.
Am special in counselling😂😂
Experience is the best teacher.
Dah 😂Sawa sawa director E.mbaga.
Ukirudi najua nitakua nishatoboa mkuu kujuana na wewe tu tayari mi nishachomoka
Nataka mpalestina mm ndo chaguo la kwanza
Na kulostGenuineMan kubant can mean "kuuma nje ...kufeli ...kukosea and etc
Sawa ngoja nikaushe 🙌🙌🙌🙌
Ila Dogo una sifa weyee! Nani sasa sijamjibu? Lol
KabisaKabisa ukipotea tena una shida pahala
Watu wenye akili afrika mashariki na kati..Dah 😂