Wadada wa jf njooni hapa

Wadada wa jf njooni hapa


Basi basi gran pah, ntapata kisukari buree.
Niache mambo ya flow vile enyewe yanataka.
Nyie mabinti wadogo kisukari mnakitoa wapi, Kwa umri wenu huo eti Mwanaume akuache ategemee hautakula ama kunywa Kwa kumlilia yeye

Ndiyo kwanza mnaagiza Mbuzi choma mnakaa na marafiki kufurahia kuachana 🙌
 
Back
Top Bottom