Wadada wa jf njooni hapa

Wadada wa jf njooni hapa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bahati yake zama zile nilikua zwazwa, sahivi ningem bant yeye.
Kwamba umezidi kujanjaruka nowadays 😜

Kweli Mkwe wangu ajiandae kupewa za uso 🙌
 
Kwa Wanandoa inaweza kufanya kazi, japo kuchapiwa hakuepukiki

Ila mkiwa wapenzi tu, jiandae kupewa Kadi ya mwaliko wa harusi ama kuona Whatsapp status baby wako akimpost baby mwingine [emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi basi gran pah, ntapata kisukari buree.
Niache mambo ya flow vile enyewe yanataka.
 
Kwamba umezidi kujanjaruka nowadays [emoji12]

Kweli Mkwe wangu ajiandae kupewa za uso [emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sahivi nna asset za kuni bust kwenye mapenzi.

Sijui km hajutii huko aliko.
 
Back
Top Bottom