Soon weeke hii nashusha mzigoUpo kwa wazee unachota baraka. Kheri.
Misosi tutakula siku nyingine
Tik Tok inaua vijana sana ,wakipata umaarufu tu wanakufa ghafla.Umeanza kutuletea challenge za TikTok Mwachi 😹😹
Ukileta za kuwapiga matukio wanaume uniite.!!
Mpaka unafikia umri uho acha zako 😂Sijawahi kubant 😂
Kuna mahala wanakosea mkuu kuamin watu ovyoTik Tok inaua vijana sana ,wakipata umaarufu tu wanakufa ghafla.
Tunawataka hao hao Dr. Mariposa AkiwepoJF wengi ni wamama.
Wadada ni wachache
Yeah mkuu ,kwa week wanakufa hata watatu.Kuna mahala wanakosea mkuu kuamin watu ovyo
Ukishusha mzigo shusha na location kabisa.Soon weeke hii nashusha mzigo
How?Yeah mkuu ,kwa week wanakufa hata watatu.
Imeisha iyooooUkishusha mzigo shusha na location kabisa.
Si utumbie tuu,Umeanza kutuletea challenge za TikTok Mwachi 😹😹
Ukileta za kuwapiga matukio wanaume uniite.!!
Sijui nini kinawaua ,wakishapata followers wengi tu wanakufa.How?
Kabisa mpaka sasaiv hakuna ata mmoja alie jitokeza Anastasia21 na wewe huna loloteWakikujibu wapikie kidogo chiefu au waonaje?
Mh unataka kusema mtandao ndio unachukua watu?Sijui nini kinawaua ,wakishapata followers wengi tu wanakufa.
Kwani nyinyi waga mnataka Nini😹?!For real, sex only connects you with a man.😂
Hana kabisa leoKabisa mpaka sasaiv hakuna ata mmoja alie jitokeza Anastasia21 na wewe huna lolote