Wadada wa JF Mnanipagawisha

Wadada wa JF Mnanipagawisha

Pure nomaa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2011
Posts
1,158
Reaction score
1,388
Wakubwa kabla ya yote naomba niwatakie members wote merry x mass &happy new year
Ingawa sina muda mrefu sana tangu nijiunge na JF lakini kwa huu muda mfupi tu nimetokea kukoshwa mno na hawa wadada waliomo JF.vifuatavyo ndivyo vinavyonipagawisha kutoka kwao;
1.Majina yenye mvuto either kwa kuyasoma au kwa kuyatamka,mf Ashadii,Smile,Faizafox,happiness win,Angel nylon na wengineo wengi
2.jinsi wanavyojua kutupia thread kali na zenye maana hasa kwenye jukwaa la MMU
3.jinsi wanavyojua kuchangia mada vizuri hasa kwenye jukwaa la MMU
4.Walivyo na msimamo mkali hasa kwa members wa kiume wa JF(Except me-jokes) wanapoonesha hisia za mapenzi juu yao
5.wanavyoipenda na kuithamini JF Kuliko hata maboyfriend wao(jokes) kwani nina uhakika ni vigumu sana kwa wao ipite siku bila kuingia JF.
I LOVE ALL THE DADAZ WA JF.
 
Thaaaank yu..
A%20S%20kiss.gif
 
So what .,...si uwe unawagongea thanks . .. Halafu yaishe ..humu umeona wadada tu.
 
Hivi utapendaje watu wanaokupagawisha?
Navyoelewa kupagawa ni kama kuwehuka!
 
Hivi "ID ya JF" inaweza kukufahamisha "Jinsia ya member"?

Kwa taarifa yako "FaizaFoxy" na "Smile" ni "Wanaume" wa shoka na "Mwali" ni ki-sharobaro fulani!
 
Hivi "ID ya JF" inaweza kukufahamisha "Jinsia ya member"?

Kwa taarifa yako "FaizaFoxy" na "Smile" ni "Wanaume" wa shoka na "Mwali" ni ki-sharobaro fulani!
Hahahaha, hapa itabidi nikuripoti kwa name calling, loh!
 
Merry Xmass and happy New year to you too..😛oa😛oa😛oa
Kuwa mwangalifu kidogo mdogo maeneo haya.. Take care
 
Halo haloooo babuuu!

Halafu we mdada sikukuu ya idd ulinitosa..........sikukuu hii pls.......niazime nguo ya kuchezea sikukuu mapema, sitaki pensi nyanya......lolz. Hujambo lakini?
 
Halafu we mdada sikukuu ya idd ulinitosa..........sikukuu hii pls.......niazime nguo ya kuchezea sikukuu mapema, sitaki pensi nyanya......lolz. Hujambo lakini?

kisa cha kupotea hivyo? Bado kidogo nikuanzishie thread la maombolezo. Lol. Mi sijambo, safari usikonde kabisa. Sema lingine.
 
Unasifia kinanda ukaacha kumsifu mpiga Kinanda ? Unasifia majina! Ukaacha kuwasifu wenye majina?
Sasa waulize baada ya majina yao mazuri NA YALE MAMBO YETU WANAYAWEZA ? hivi hujakutana na wadada jina tamu ajabu! Kwenye game mweuuupe!
 
Mie nilikutana naye kwenye gemu wa njanooooo

ukipenda boga penda na ua lake
 
Back
Top Bottom