Wadada wa JF Mnanipagawisha

Wadada wa JF Mnanipagawisha

Hapo umechemka mzee.Je kwa ID yangu hapo niambie mi ni "me" au "ke". Na wewe unapagawishwa tu na kuchangia kwao, je ukikutana nao live mezani si ndio utalilia kabisa?Acha hizo, uliowataja wote huna ushahidi kama ni wadada na pia wewe hujaona wakaka wanatoa mda za ukweli?Na kichwa cha hbr hakisadifu uliyoyaandika, kwani KUPAGAWA hakuwezi kusababishwa na uliyoyataja.
 
Una maana gani?

Nani boga nani ua?

washenzi wa tabia hawa wahenga wetu hawa....au hawakuwa wanajua habari ya obameroon???

Yani ukimpenda mke wa mwenzio, umpende na yeye pia
 
Usiishie kulalamika vikesha ! Na kuwaomba hao wa-dada wakupe treatment ya pagao unasubiri tukuambilie sie ? Haya kwa vile umejisahau kwa mara ya kwanza acha nikuombee siku nyingine uombe mwenyewe !
> Jamani wa'dada Jf mpeni dawa mdau ! Muhurumieni.
 
Duduwasha nakusalimu my dear ...
SJAAAAAElFTkSuQmCC
Sijambo my Dear Afrodenzi..
funnyComments128.gif
. Huwa nakuwaza kila wakati Do Something pls.
HB8sUXX3zxxRdffPHFF1988cUXX3zxxRdffPGF8v+ymegBhENMlwAAAABJRU5ErkJggg==
gracias6.gif
 
hahaha Dena wacha kumuogopesha AD mbona TF yupo peace tu....

Naweza hata kwenda na AD club tena TF Akatupeleka then akajatufuata baadae lazima ampe AD nafasi yake bado kijana:juggle:
 
Hivi "ID ya JF" inaweza kukufahamisha "Jinsia ya member"?

Kwa taarifa yako "FaizaFoxy" na "Smile" ni "Wanaume" wa shoka na "Mwali" ni ki-sharobaro fulani!



Ahahahhah, mkuuu hapa umeniacha hoi
 
hahahahahhah lol
Niambie utakacho mi niko tayari ku karangiza... usjali .
466867861_7c32b529f6.jpg
Hope you like roast .....
Nikiishi na wewe My Dear Lazima niwe Bonge baada ya Miezi Miwili tu mhhh!! hapa sasa Bado nipo kwa Job nishaanza kuhisi Njaa yum yum yum.....
Hiyo beef imenikumbusha Ndafu lal lal lal

Afrodenzi hapo utanishika sana manake misosi ya Kubanika naizimikia Sana vikichanganywa na Vipande vidogodogo vya Nanasi...

Pizza kama Hii utaiweza Dear
giantpizza.jpg
 
Hivi "ID ya JF" inaweza kukufahamisha "Jinsia ya member"?

Kwa taarifa yako "FaizaFoxy" na "Smile" ni "Wanaume" wa shoka na "Mwali" ni ki-sharobaro fulani!

kudadeki usiniambie kama ni midume
 
Back
Top Bottom