Wadada wa JF mkoje jamani!

MZURI SANA

JF-Expert Member
Oct 19, 2023
241
546
Asubuhi mmeamkaje.

Niseme hivi Gentlemen wa jf mjitahidi sana kuwa makini na sisi mabinti wa jf.
Juzi nimefungua Acc nikajaribu kuwa real na kueleza uhalisia wa mambo hasa yanayotukuta sisi wadada juu ya mahusiano.

Actually nimeona nikipigwa sana hasa na jinsia yangu .

Ngoja niwaambieni wanaume humu ndani naona wadada wengi WASANII.

wanatengeneza mazingira ya kuonekana wema na wastraabu ila hawako hivyo hata.

Hakuna mwanamke asiyependa hela kwa dunia ya sasa.

Hakuna mwanamke asiyechepuka.

Gentleman be carefully with beautiful lady humu ndani wengi ni Scam.
 
Hakuna asiyependa hela ndyo lakini tunatafuta na sisi za kwetu hatutegemei kuhongwa kama wewe hapo,, hivi unajua kama hakuna kitu kizuri kama kula hela ya jasho kwanza halafu nyingine zije kama nyongeza 😋😋😋
 
Back
Top Bottom