Wadada wa JF Mnanipagawisha

Wadada wa JF Mnanipagawisha

mimi kongosho ndo ananipagawisha.
 
Cheusi jamani!! Mbona mie kamusi yangu haina haya maneno mpendwa, nitafsirie basi hata kwa kuninong'neza! Lol

ningekunongoneza tatizo nimekatazwa ila hapo inabidi uwe na maltilingual dictionary.
 
Cheusi wanchoma kumoyo mtoto wa mwenzio

eeh nimekuchoma moyo na bado umeweza kubofya kiibodi maajabu,pole lakini kwa kukuchoma,weka pulasta kidonda kisijeliwa na inzi moyo ukaoza kabisa nikajapewa murder case bure.
 
Asante mwaya kwa kutushukuru, na mie pia una ipagawisha sana......... nakutakia xmass njema
 
kisa cha kupotea hivyo? Bado kidogo nikuanzishie thread la maombolezo. Lol. Mi sijambo, safari usikonde kabisa. Sema lingine.

Nipo maidia napigika kutafuta nguo ya sikukuu......na mpaka nilipofikia bila bila. Mbona unampgawisha mtoto wa mwenzioo.....unajua uanapata zambi?
 
Mweh! Nahisi mie sio mdada wa jf! Kama nimempagawisha pure noma tena! Kha! Pawagishaneni! Asante hakimu kwa hukumu ya maneno haya
Kupagawa ni kuhemkwa na kuhemkwa ni kunogewa na kunogewa ni kufurahishwa na kufurahishwa kwatokana na utamu unaccountable!
 
Asante mwaya,kwa kutuaprisieti,
Nami nakutakia x-mass njema na mwaka mpya wenye mafanikio.
 
Unasifia kinanda ukaacha kumsifu mpiga Kinanda ? Unasifia majina! Ukaacha kuwasifu wenye majina?
Sasa waulize baada ya majina yao mazuri NA YALE MAMBO YETU WANAYAWEZA ? hivi hujakutana na wadada jina tamu ajabu! Kwenye game mweuuupe!
we naweeee..... Ushongo tu!
 
Back
Top Bottom