Wazo Langu
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 1,381
- 842
Na usafi wa kichwani mje na tips maana nako ni balaa.
Hehehehe,
Hata kuumuka pia laweza,
(kidding)
Someone I know ilimsaidia.
brenda18
Na mimi nimepata wasiwasi kama huyu dada ana Nia nzuri na sisi.... Haha...
Lakini inatoa vikwapa. Unapaka unaakaa dakika 3 labda ukanawa. Utafanya shughuli utasweat...no vikwapas...... But deodorant itakaa muda mrefu.
hata mimi mwenyewe nimeshangaa na mpaka sasa kila nikisoma comment zako nahisi fundo moyoni.. Hongera kumbe wewe ni Dk brenda?
Hehe Heaven Sent njoo bana urekebishe sehemu uliniita dk wakati mimi ni salunist
ibra87 hii uzi ni kwa wadada tu,we unafanya nini huku..
Hehe Heaven Sent njoo bana urekebishe sehemu uliniita dk wakati mimi ni salunist
ibra87 hii uzi ni kwa wadada tu,we unafanya nini huku..
Mmh me naijua basi my dear, katika soma soma yangu ndo nimekutana na hizo sticks. Tena uzuri wewe ni doctor, hivi inaruhusiwa kudumbukiza Vitu kwa bibi? Hapo kwenye fake sticks ndo kabisa maana wabongo kwa kuchakachua tu, kuna mtu atapukutika nyuchi
Aaah kama nimeanza kukuelewa sasa hivi Hahahaha. Daah ndo kunibananisha eeh teh tehWala usihofu na hiyo mifeki sistaangu, mi nitakuletea original kama unahitaji, tena original zenyewe kabasaaa, you just tell me how many you want
Aaah kama nimeanza kukuelewa sasa hivi Hahahaha. Daah ndo kunibananisha eeh teh teh
Hahahah Aah Ahsante kwa kunionea huruma dada ako, maana nisingesinzia kwa raha leo. Mengine tutamalizana chemba lolUmeona eeeh, nimeona utalala na kihoro bure, ngoja tu niufukunyue huu uzi nikurahisishie, ahaaaaa!!
Hahahah Aah Ahsante kwa kunionea huruma dada ako, maana nisingesinzia kwa raha leo. Mengine tutamalizana chemba lol
kutanua lips/kusambaza lips
bila shaka hapa wamekuelewa vizuri sana.
Wala usihofu na hiyo mifeki sistaangu, mi nitakuletea original kama unahitaji, tena original zenyewe kabasaaa, you just tell me how many you want
Hivi ndio umeamua kuweka kambi kabisa humu?
Huu uzi umekaa kwa ajili ya wadada zaidi naona midume kibao wanang'ang'ania kukaa huku#
Anyway nafikiri ni yale yale kuwa si kila anaevaa suruali usidhani ni mwanaume, wengine ni watoto wa kiume!
Eti wanajifunza wakawasaidie watoto wao wa kike, wakati hao watoto hata wakivunja ungo tu wanakuja jf kuuliza wawafanyaje!! Daaaah kaazi kweli kweli.
Hahahahaaa utwmsaidiaje ww baba mtoto wako wa kike kuosha papuchi? Ina maana mama yake hawezi? Na je ni sawa kwa baba kuchungulia uchi wa binti yake???
Hao ndo wale tunaosikia wamebaka binti zao# hebu wafukuzeni bwana
Kuwafukuza imeshindikana, acha tu tucheze nao ekotite tu humu, ila kuna waliotoa mawazo ya kujenga sana kama Nyani Ngabu i learnt kitu muhimu sn from his post.
Hawa wengine sasa ndio majanga tu.