Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
Ndio ulikua ukiyataka hayo my Valley.....
Lazima unisaidie sikubali kabisa nichezeshwe songombingo.
Akuuu... Kwanza ngoja nilale zangu jumba bovu likuangukie mwenyewe
Ndio ulikua ukiyataka hayo my Valley.....
Lazima unisaidie sikubali kabisa nichezeshwe songombingo.
Akuuu... Kwanza ngoja nilale zangu jumba bovu likuangukie mwenyewe
Sikubali ata kidogo na haulali.....
Teh bana "babu" anaruhusiwa kuingia kwa "bibi muda wote tu. Me nilitaka general knowledge, and thanks to you coz umenipa ya kutosha. Atleast wewe unaijua muda mrefu, me nimeisikia juzi juzi tu ndo kukuta na watu wanalalamika juu, ( possibly ndo hizi fake sticks). Na wengi wanaongelea sticks as njia ya kufanya K iwe tight, hizo faida ambazo ndo core wengi wetu hata hatuzijui. Naendelea kufukunyua nikikuta kitu nisichokielewa ntakuuliza tena please. Thanks
Ole wako unipigie makele yako nakwambia
Ole wako unipigie makele yako nakwambia
Hahahahaaaa......
Leo usingizi vipi upo au umekata!
Hiyo dawa ndo kama hizi za kuingiza huku ama ipi mpendwa? Teh mwishowe utajikuta unaitaja sasa
Mnanipigia kelele nimelala
Akikutajia nifowadie na mimi ninusuru ndoa...teh
Akikutajia nifowadie na mimi ninusuru ndoa...teh
Wacha nkimbie mie hapa......
Hehhehehehhe ndoa oyeeeee. Ntakuforwadia mwenzangu, kizuri kula na nduguyo teh
Mmmh my dear si tutaunguza makwapa🙈🙈🙈
Usafi is a broader term. Some would insist upon cleaning the exterior without realizing that cleanliness is an inside job as much as it is outside.
Clean your mind (mentality) Clean yourself through food revitalize your organs. Eat a lot of veggies and fruits it helps to detoxify your body. Afterwards it would be easy to deal with the exterior BUT the most important cleansing is of the heart.....
Cool beans!
brenda18Kama una kikwapa au weusi kwenye makwapa,
Usihuzunike,
Chukua kipande cha ndimu na Baking soda,
Sugua mahali husika,
Acha kwa dakk kadhaa then nawa,
Endelea kufanya hivyo kwa wiki mbili,
Utaona mafanikio.
N.b. Hata wenye weusi mapajani, mnaweza tumia hiyo.