Wadada, njooni tufundishane usafi

Wadada, njooni tufundishane usafi

1)Usitumie spray kama deodorant. Tumia roll on. Spray inafanya mambo yanakuwa mabaya zaidi. Roll on zuri ni za nivea na Fa. Zile za kichina zenye mapicha picha mimi sizipendi. Ukipaka deodorant halafu dakika mbili tu kikwapa, haikufai.

Kivipi hasa spray-on aerosols zinafanya mambo yanakuwa mabaya zaidi?

Manake siku hizi zipo aerosols nyingi tu ambazo zinakauka haraka zaidi na kupunguza uwezekano wa ku stain nguo na kadhali.

Roll-ons huwa hazikauki haraka. Zinachukua muda mrefu sana.

Mimi naona ni bora hata stick [anti-perspirant deodorants] kuliko roll-ons.

Kwanza roll-ons naona zimeanza hata kupungua madukani.

Nyingi zilizopo ni stick deodorants [including anti perspirants] zenye sweat and stain protection na aerosols ambazo zina dry spray technology. Ukipulizia tu dk mbili tayari ishakauka.

Na uzuri wa aerosol sprays, huwa zinanukia vizuri na manukato yake hukaa kwa muda mrefu zaidi kuliko roll-ons.

Au wewe binafsi unapendelea tu roll-ons?

71VGmJXROOL._SY679SX281_SY679_CR,0,0,281,679_PIbundle-6,TopRight,0,0_SX281_SY679_CR,0,0,281,679_SH20_.jpg
 
My dear mazoea Yana tabu Sana if umeolewa kulala na nguo ya ndani ni mwiko labda iwe uko mwezini unatumikia.
Nimeiona hii comment midnight..Basi nikawa nawaza tu jinsi ulivyolala..Zen nikaacha kuwaza
 
Kwenye handbag uwe na wet wipes, hand sanitizer, body splash/spray.

Ukikojoa usiachie mkojo kuruka kwa spidi kali, utakurudia mwilini.

Usafi ndiyo njia ya utu....aliye msafi anajitambua.....
Hongera saana mate
 
Nimeiona hii comment midnight..Basi nikawa nawaza tu jinsi ulivyolala..Zen nikaacha kuwaza

Ha! Ha! Ha! Nafikiria humu jamii forum.....

Naeza comment kumbe na comment post ya dadangu.... ama my .exe lol


We need a resution we have gotta so much confusions!
 
kutanua lips/kusambaza lips

bila shaka hapa wamekuelewa vizuri sana.
 
Ni bora pia hata mwanamke abebe zile waipu za kufutia watoto kwenye pochi na kutumia akipata haja zote maana na maji ya mko.jo yakikaa sana mabaya.

Mie vyoo vya nje ya kwangu labda kwa wazazi au ndugu zangu mie ndio naweka matako.

Mengine ukihitaji haswa lazima usafishe na tishu na sabuni halafu nakata toileti pepa vipande vipande natandaza juu ya kiti ndio nakaa kama siwezi napita....

Hata zile waipu za kusafisha kuua vijidudu usiziamini utaweka tu tishu ukimaliza unasukumia chooni na kupande kingine
 
Hiyo namba tisa mimi kwangu ngumu aisee japo naanza kufanya zoezi...naweza nisijifunike sehemu zingine nikawa mtupu ila bila chupi aisee ngum sana

Mh! Khantwe! Hupendi bibie apumue? Unaogopa nini? Hebu jaribu uje utuambie.
Ila ni vizuri ukimwacha mwenzio avute hewa safi!


Absante
 
Hivi wanaume kwenye huu uzi mmefuata nini eti
 
Hiyo namba tisa mimi kwangu ngumu aisee japo naanza kufanya zoezi...naweza nisijifunike sehemu zingine nikawa mtupu ila bila chupi aisee ngum sana

kama hujaolewa na upo kwenye mahusiano in very rarely cases inabidi tu kama umeolewa kinyume cha hapo kinahuuu
 
Hiyo namba tisa mimi kwangu ngumu aisee japo naanza kufanya zoezi...naweza nisijifunike sehemu zingine nikawa mtupu ila bila chupi aisee ngum sana

Nimeiona hii comment midnight..Basi nikawa nawaza tu jinsi ulivyolala..Zen nikaacha kuwaza

khakhakhaaaaaaaaaa aaaaaaa angalia usichafue mashuka
 
Back
Top Bottom