kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,497
- 5,198
aiseeeeee mbona wadada wanakaz
Kuwafukuza imeshindikana, acha tu tucheze nao ekotite tu humu, ila kuna waliotoa mawazo ya kujenga sana kama Nyani Ngabu i learnt kitu muhimu sn from his post.
Hawa wengine sasa ndio majanga tu.
Unasema kweli totoz?
Kama kweli basi shukran jazilan!!!!
Hivi ndio umeamua kuweka kambi kabisa humu?
Kuwafukuza imeshindikana, acha tu tucheze nao ekotite tu humu, ila kuna waliotoa mawazo ya kujenga sana kama Nyani Ngabu i learnt kitu muhimu sn from his post.
Hawa wengine sasa ndio majanga tu.
Ekotite ekotiteee, kama nakuona na kipilipili chako. Maana ukivaa tu wigi hukawii kulikuta miguuni teh
Hehhehe kwa raha zetu na michogo yetu. Daah ila my daddy alitisha na hilo dongo, yani kila nikiona Mawigi nahisi kuchizika kwa chekoHahahaaaaa!! Wigi sivai mie lisijekataa kufuata muelekeo wa kichwa nikigeuka
Kwa msisitizo:
Wadada/Wanawake wengi wanalalamika kuhusu kuwashwa ukeni au kutokwa na ute mzito unaonuka,
Wanatumia dawa nyingi inapoa lakin inarudi,
Je unajua tatizo hasa hua ni nini?
Ukienda chooni kupata haja kubwa wakati wa kunawa mkono hua unaweka kwa mbele,
Kwa kufanya hivyo unakua unatoa uchafu wa nyuma unapeleka mbele,
Ndio unakuta tatizo haliishi, waumwa weeee na huponi,
Ukinawa plz km ni haja kubwa basi mkono pitisha kwa nyuma, hakikisha uke huushiki kbs,
Kama ni mkojo pitisha kwa mbele hakikisha mkono haufiki nyuma.
Shukrani.
Hivi ndio umeamua kuweka kambi kabisa humu?
usichana kaz asante yesu kwa kuumbwa mwanaume
Hahaha. Acha fujo basi Da' Khantwe. Kichwa cha habari kipo wazi ndio, ila nina uhakika kila mwanaume aliyekiona kachungulia kuna nini.
Yes it is..Dear And that's why we need our men to help / support us financially because everything costs money .. Thanks..
Le sugar,
Niliibiwa tochi yangu.Naomba unitafute.
Mmmmh!! Ni majicho yamesoma tofauti au nkisomacho ni kweli? Wonders never seize!
Duh! yaani kila siku ajisevie kirahisi tu. Siku moja moja inatakiwa ahangaike kupata mechi. Kuvuliwa hicho kivazi napo kuna stimu yakeMy dear mazoea Yana tabu Sana if umeolewa kulala na nguo ya ndani ni mwiko labda iwe uko mwezini unatumikia.