Daaah kuna mwamba hapo juu kasema wewe ni pisi kali ya kwenda ๐ ๐ ๐ ila kwani low cut wengi wanavaa wigs hasa hasa kwenye parties na events.Tag wengine
Mimi ni low cut... I have nothing to do with wigs.
Hahaha Namsikiliza kp wa clouds asubuhi hii anasema unakutana na aliyevaa godoro kuboost shape halafu mvua ikamnyeshea godoro kinajaa maji kinakuwa kizito akikaa kwenye kiti maji yanakamulika waaaaaa.
Haswaaa yaaan.Kichwa kibaya ndo kipojeee?
Mtoto wa mzazi mwenzio unamnena ana kichwa kibaya, hamnaga kitu kibaya, tafsiri ako ndo inakufanya ufikirie ivo
Wapo.. ila uliyenitag sivai wigiDaaah kuna mwamba hapo juu kasema wewe ni pisi kali ya kwenda ๐ ๐ ๐ ila kwani low cut wengi wanavaa wigs hasa hasa kwenye parties na events.
Sawa sawaWapo.. ila uliyenitag sivai wigi
Najiona niko vizuri kwenye low cut kuliko hizo korokoro zingine.