Wadada, kwa nini mambo haya yameshamiri siku hizi?

Wadada, kwa nini mambo haya yameshamiri siku hizi?

for me naona ni effect za BROKE GUYS kuvunja mioyo ya kna dada,mtu anaona she has nothing to lose anymore,..
Mi mwenyewe hapa sio mtangaza njaa kwa my man but siko tayari kudate mwanaume ***** everrrr again...bora niwe heartbroken na mwenye nazo,will compensate my loss for material things,hata broke guys ushuzi tuu,mwanaume lakn ye ndo mlia njaa wee,na bado akutose aaargH...SIRUDI TENA HUKO,SIPATAKI KABISAAA...
Eventually every1 will hurt you JUST FIND WHAT'S WORTH THE HURT...and that is mwanaume mwenye nazo na anaejielewa,i believe in love lakini sio kwa mwanaume kunisumbua weee,af mkwanja wenyewe HANAA,mi mwenyewe bado sijazipata vizuri,atlst mmoja awe nazo.period

KE wote tunaojitambua tuko kundi hili na wote tuseme AMEEEN
 
Dawa yao ni kuwanunua tu ukibanwa n.y.e.g.e basi.Hit and run raha sana.No stress na vinavyolalamika sasa yani beiby mi nilijua unanipenda kumbe umeninunua kama Malaya.Ahsante sana.Hapo ni raha tupu.
 
Kabisa dada wanaudhi sana hawa.

Usikasirike hawa mbona mchezo rahisi unamuandalia budget yake one week or month almost one week ukisha mgegeda piga chini nmegundua ukiweka makazi ndo matatizo yanapoanzia wa kuishi nae atakuja automatical usimtafute......!
 
for me naona ni effect za BROKE GUYS kuvunja mioyo ya kna dada,mtu anaona she has nothing to lose anymore,..
Mi mwenyewe hapa sio mtangaza njaa kwa my man but siko tayari kudate mwanaume ***** everrrr again...bora niwe heartbroken na mwenye nazo,will compensate my loss for material things,hata broke guys ushuzi tuu,mwanaume lakn ye ndo mlia njaa wee,na bado akutose aaargH...SIRUDI TENA HUKO,SIPATAKI KABISAAA...
Eventually every1 will hurt you JUST FIND WHAT'S WORTH THE HURT...and that is mwanaume mwenye nazo na anaejielewa,i believe in love lakini sio kwa mwanaume kunisumbua weee,af mkwanja wenyewe HANAA,mi mwenyewe bado sijazipata vizuri,atlst mmoja awe nazo.period

Akili za wanawake wengi ni za kujumlisha, hazina kutoa.

Wewe unamkuta mtoto wa mwanamke mwenzio kavaa vizuri suruali imekaa sawa, mkanda kiunoni ana usafiri wa maana ana pa kuishi, na kazi yake
Then huchukui hata sekunde 2 kuwaza au kuuliza kapataje izo mali unaingia kichwa kichwa miezi michache unaanza kulia lia na kufukuzwa kama kuku.
 
kazi ipo. ila mimi rule namba moja lazima wewe mwanadada uwe na spirit ya ujasilamali. kupenda vitu vya gharama sio tatizo kama mwanamke anaakil ya kutafuta pesa.

mbona ---- wamama wengi siku hizi wanajishughulisha hadi mwenyewe unaona wivu.

bila hivyo pesa zangu utakula lakini ni hautadumu
 
Kuna rafiki zangu 5 na work mates kama watatu wameachana na wachumba zao kisa wanapenda vitu vya gharama kubwa kuliko uhalisia wa maisha. Wanalalamika kwamba hao WACHUMBA matumizi ya kuwahudumia wao tu hata mwisho wa mwezi haufiki wanajikuta hawana kitu. Kuna wengine mpaka hata kukutana wanataka hotelini na jamaa anakuwa amepanga nyumba ambayo anaishi peke yake. Kuna mwingine mpaka akawa anamshauri jamaa awe anafanya shopping ya vyakula vya kutumia super market. Wakiongelea kuhusu kuwekeza hawawaelewi, kuna mmoja ndo alikata mawasiliano kisa jamaa kanunua kiwanja na ye alikuwa anahitaji hela ili anunue vitu vyake. Nachojiuliza, ni kwanini siku hizi mdada ambaye unategemea kuwa mtaishi pamoja anakuwa mchunaji kuliko hata madada poa? Siku hizi hamna mawazo ya kujenga familia na hao wakaka mnaokuwa nao? why? Najua wapo wenye hela zao za kuhonga na kustarehe sana.! Cc@snowhite, Nyamayao Badili tabia @aspirin na wengineo wenye familia zao, enzi zenu za kuwinda na kuwindwa mambo yalikuwaje.?

UMEGUSA MKUU, KIZAZI HKI UIGIZAJ MWINGI SANA!
Mapenz yalikuwa zamani!
 
Last edited by a moderator:
Umeongea jambo la busara sana,mara nyingi uhusiano unavyoanza ndivyo utakavyokua,kama ulianzisha uhusiano na mdada ukajionyesha una pesa ya kuhonga ndivyo mahusiano yatakavyokwenda,ila kama ulianzisha simple relationship ndivyo itakavyoendelea pia,kama mdada alikuja kwako kwa minajili ya kukuchuna ataondoka mwenyew au kubadili malengo yake.
...ni kweli kabisa na wakati mwingine sisi tunakosea kama unamshirikisha mtu kwenye maisha tangu mwanzo kweli mtashirikiana...na mtu anatune kutokana na jinsi mlivyoanza
 
aisee, kazi mnayo haswa, lakini mbona nina imani wadada wanaojitambua wapo sana, ila nyie mnawataka hao masista duu wa kukutana nao kwenye mastarehe huko ndio mnawaona wajanja, lazima ile kwenu.
...Nyamayao sio masistaduu...ila wakati mwingine kweli na sisi tunakosea gia za kuingilia.....
 
Joel humphrey......
hicho kisa ni cha kweli??????
khaaaaa... utasichi vipi mkoba wa mwanamke?????... OMG!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli,ila sio wadada wote wanatabia hyooooo! 2cwalaum sana hata wanaume wa cku hz vlevle ni waptaj tu! ujenz badaeee!
 
Pole sana... Njoo kwangu mie sijui kuchuna kabisaaa..!

Nitakushauri ununue kiwanja, ujenge na kuwekeza... Sitajali kupanda Daladala..!


mnhhhhhhhhh.....umejishusha bei hadi huzuni
 
Ndio wadada wamjini, vinginevyo nenda shamba ...!
 
aisee, kazi mnayo haswa, lakini mbona nina imani wadada wanaojitambua wapo sana, ila nyie mnawataka hao masista duu wa kukutana nao kwenye mastarehe huko ndio mnawaona wajanja, lazima ile kwenu.

Sio wote unakutana nao kwenye starehe, wengi wao maofisini, mtaani nk. Lakini wote ni wale wale. Tena bora uliyekutana naye club utajua ni mtu wa matumizi kuliwa ambaye mmekutana naye kanisani. Yaani in short, wadada miaka hii wamekuwa unrealistic na maisha.
 
Sasa tatizo wanajenga halafu wanawaoaa wengine acha wachunwe maana wanajenga kwa faida yao

Mkuu ni watu ambao wanakuwa in a serious relationship. Hata hivyo mchango wako unakuwa hauhitajiki, ni yale mawazo tu yatakayomletea jamaa chalenge za kufanya maendeleo kulingana na anachokipata. Sasa mnatumia weee, ikifika hatua nyingine unaanza kusema mwanaume mwenyewe hana hata nyumba, gari nk. Atoe wapi wakati ulikuwa unamkwangua zote? Ikifika mwisho wa mwezi matumizi yako yanaongezeka!
 
Kupanga ni kuchagua, ukitaka haiba, tafuta haiba.

Wanawake wapo wa kila aina, tatizo vijana mmezidi kuwa facetious kuangalia uzuri wa sura na ulimbwende kuliko kingine chochote.

Kwa mbali namsikia Jabari la Muziki Marijan bin Rajab anaimba.

"Nimezunguuka Tanzania bara eeeh
Unguja na Pemba kote nimefika
Nimewaona warembo wenye sifa eeh
Wenye kujipamba wakapambika
Kwa hiyo mama sibabaiki
Sibabaiki na sura eeeeh
Nampenda, tabia njemaaa"

Wewe usitake kumparamia mwanamke kwa sababu mwanamke tu, au kwa sababu mzuri wa sura na umbo tu.

Muangalie kama atakufaa kwa tabia yake.

Isije kuwa yeye chipsi kuku wa caviar Kempinski na Chsmpagne za 69 Serena, wakati wewe mwanamazingira wa dona na bada kwa picha ya kipande cha nguru wa kusuuzia kwa togwa la jana.
 
Back
Top Bottom