Wadada, kwa nini mambo haya yameshamiri siku hizi?

Wadada, kwa nini mambo haya yameshamiri siku hizi?

Sasa tatizo wanajenga halafu wanawaoaa wengine acha wachunwe maana wanajenga kwa faida yao
 
Nishawahi kuwa a girl of less matumizi kwa my man,me najitaftia pesa angu,nkajua ntakuwa exceptional lakini nkaambulia kuachwa,ya kazi gani tena,siwezi tumia similar method nikaexpect different results, hadi nilikuwa nakumbuka my ex bf's,mwingine had alikuwa ananiambia nimuombe hela,mwingine nikitaka hela ananiambia walau nimwambie a week before na yote nliowahi kuomba alinipa na smtym bila hata kumuomba,na hakuwa msumbufu,Broke man sasa ,aaah,sina hamu sijawahi pewa hela yake hata moja,na sikuiomba lakini,still bado akanitosa,aaah,NOT AGAIN,i learnt my lesson already...sipendi mwanaume mkono wa birika,me kutoa vyangu sio tatizo,will insure myself effectively ths tym,
Kweli huyu ulimpenda.
 
Ukiona anakupukutisha mapene bila huruma na anaonekana hana malengo ujue huyo hakupendi, wanaume tmependelewa na mungu kwa kupewa uwezo wa kuchagua unayemtaka, cha msingi usikate tamaa atakayekupenda ukampenda yupo endelea kutongoza tunutampata. Me wangu nikimpa hela hela huwa ananiambia baby mbona unanipa hela nyingi hivi? Mi namwambia weka ukitaka kitu chukua itakayokutosha nyingine niwekee utanitoa out, cha msingi vijana msikate tamaa endeleeni kutafuta
 
Inategemea ulianzanae situation gani, kama siku ya kwanza ulianzima v8 ya rafiki yako, ukakopa na hela iliuende nae golden tulip, huko mbele ya safari unadhali atakuelewa hayo? Hawa viumbe wako hivi; akikuomba hela mnyime atakama unayo halafu mskilizie utajua anakupenda au anapenda wallet yako

Ntaanzaje kuomba na wakati sijawah kuomba????
 
Mada nzuri sana...sasa hivi tuna kizazi ambacho kinatazama maisha tofauti sana....unaweza kumwita mwanamke...nyumbani kwako...ndani una unga mchele, samaki ,kuku na kila kitu....lakini mkashangaa mnaenda kununua chips....badala ya kutake hardly 15 min kupika..ila wakati mwingine inategemea MISINGI ya mahusiano yenu

Hao ndio baadaye anakushari mchukue housegirl kwa kazi ambazo anapaswa kuzifanya yeye »» kwanini usihamie kwa housegirl kama analipa?
 
Mimi ilishanikuta hiyo mwaka jana, nili date na demu mmoja wa kichagga pale kinondoni. Basi siku nikaomba tutoke out sehemu simple tu ambayo nilichagua mimi kulingana na kipato changu, cha kushangaza alikataa hiyo sehemu na akachagua sehemu anayoona yeye kuwa inafanaa kulingana na hadhi aliyojiona anayo yeye wakati mie nilimchukulia simple tu. Tukafika hiyo sehemu wakati mfukoni nina elfu 25 tu, akaweka order ya chakula cha elfu 35, akaagiza pombe za garama wakati mie nakunywa maji tu, demu mwenyewe hatujuani vizuri, nikapiga hesabu namna gani nitalipa hiii pesa maana ilifika jumla elfu 70 hivi na tunatakiwa tukitoka hapo twende logde ya elfu 25 karibia na hiyo bar. Huku mfukoni nina elfu 25 tu na akitegemea mie ndio nilipe hizo garama zote, likaja wazo sijui nimtoroke kabla hatujadaiwa, kiukweli iliniumiza sana kichwa nikaona mtu mzima naibika leo. Kwa bahati yule mrembo kwa kuwa alikuwa anakunywa sana pombe basi alibanwa na mkojo hivyo akaniachia mkoba na simu zake 2 nimwangalizie, ile anazama tu toilet nikapata wazo jipya nisurvey kwenye mkoba wake na kwa bahati nzuri nikakuta kama laki 3 hivi, sikuchelewa sana nikavuta laki kamili kisha nikarudishia mkoba katika hali yake ya mwanzo, akarudi toka toilet wala hakutembelea mkoba wake maana aliniamini kwa muda mfupi ule niliyo spend naye, gafla moyoni nikajawa na furaha huku nikipata ujasiri mkubwa wa kuendelea kukaa pale, akaja mhudumu kudai pesa yake nikajifanya sina cash mkononi hivyo mpaka nitoe m-pesa ambayo ilikuwa karibu na hiyo pesa, mtu mzima nikajifanya nimeenda kibandani kuvuta mkwanja ambapo nilitumia dakika 2 hivi nikarudi pale kwa mrembo wangu then nikalipa ile bill tukasepa zetu kwenda lodge, nikalipa pesa ya lodge na nikala mbunye na mwisho nikampatia pesa ya nauli kama elfu 10. Mpaka leo nimekoma kutoka na wanawake wategemezi wanaopenda kuombaomba pesa, mwendo ni kutafuta wadada wanaojiweza
 
Kuna moja nilita kuanza naye uhusiano, ni mdada na kazi yake nzuri tu kaanza kunichomoa ile tu nilivyomuweka karibu. Mara niescot sehemu, akifika anatamani vitu vinavyouzwa, kulipa ananiangalia mimi. Na mavitu yao wanayopenda siku hizi yalivyo gharama!! Siku moja tulitoka out akanywa mapombe yake ya gharama mie nakunywa zangu juice. Baadaye ananiuliza, leo si tunaenda hotelini? hoteli yenyewe anayotaja ni zaidi ya 150000! Nikaona huyu atasababisha niuze na kiwanja, nikajifanya napokea simu ya kazini nikamkodia tax impeleke kwake nikasepa.

aaaaa pole love
 
Ukiona mwanamke anakodolea sana mali au fedha ya mwanaume, ujue hamna kitu hapo...

Mwanamke huyo kamwe narudia tena kamwe hawezi kuja kuwa mshauri mzuri wa mwanaume decent kama wakifunga ndoa...

Hata hivyo wanawake wa aina hii wana aina yao ya wanaume ambao ni saizi yao...

Una akili sana ukija kizombie zombie ndo hivyo tena.
 
Ndo maana style ni kupiga na kusepa. Kama kijana unataka maendeleo epukana na haya mapenzi ya kizungu na kihindi au niseme upuka mapenzi ya kuigiza ambayo akili za vijana wengi wake kwa waume wamecopy kwenye filamu na sasa wamefanya kama maisha yao ya kila siku. Au utamaduni wao
 
Tatizo lililopo kwa akina dada ni mashindano wala sio mapenzi. Mapenzi ni two way traffic huwezi kutaka kila kitu ufanyiwe wewe tu hata shida zako ndio priority. Mimi nimejifunza jambo moja mwanadada anaependa sana vitu vizuri na agharimikiwe yeye tu wengi huwa na wapenzi wengi.
 
Mimi ilishanikuta hiyo mwaka jana, nili date na demu mmoja wa kichagga pale kinondoni. Basi siku nikaomba tutoke out sehemu simple tu ambayo nilichagua mimi kulingana na kipato changu, cha kushangaza alikataa hiyo sehemu na akachagua sehemu anayoona yeye kuwa inafanaa kulingana na hadhi aliyojiona anayo yeye wakati mie nilimchukulia simple tu. Tukafika hiyo sehemu wakati mfukoni nina elfu 25 tu, akaweka order ya chakula cha elfu 35, akaagiza pombe za garama wakati mie nakunywa maji tu, demu mwenyewe hatujuani vizuri, nikapiga hesabu namna gani nitalipa hiii pesa maana ilifika jumla elfu 70 hivi na tunatakiwa tukitoka hapo twende logde ya elfu 25 karibia na hiyo bar. Huku mfukoni nina elfu 25 tu na akitegemea mie ndio nilipe hizo garama zote, likaja wazo sijui nimtoroke kabla hatujadaiwa, kiukweli iliniumiza sana kichwa nikaona mtu mzima naibika leo. Kwa bahati yule mrembo kwa kuwa alikuwa anakunywa sana pombe basi alibanwa na mkojo hivyo akaniachia mkoba na simu zake 2 nimwangalizie, ile anazama tu toilet nikapata wazo jipya nisurvey kwenye mkoba wake na kwa bahati nzuri nikakuta kama laki 3 hivi, sikuchelewa sana nikavuta laki kamili kisha nikarudishia mkoba katika hali yake ya mwanzo, akarudi toka toilet wala hakutembelea mkoba wake maana aliniamini kwa muda mfupi ule niliyo spend naye, gafla moyoni nikajawa na furaha huku nikipata ujasiri mkubwa wa kuendelea kukaa pale, akaja mhudumu kudai pesa yake nikajifanya sina cash mkononi hivyo mpaka nitoe m-pesa ambayo ilikuwa karibu na hiyo pesa, mtu mzima nikajifanya nimeenda kibandani kuvuta mkwanja ambapo nilitumia dakika 2 hivi nikarudi pale kwa mrembo wangu then nikalipa ile bill tukasepa zetu kwenda lodge, nikalipa pesa ya lodge na nikala mbunye na mwisho nikampatia pesa ya nauli kama elfu 10. Mpaka leo nimekoma kutoka na wanawake wategemezi wanaopenda kuombaomba pesa, mwendo ni kutafuta wadada wanaojiweza

jamaniiiiii mnamuona MARIOOOOOOO......??!mhh kazi kweli kweli,mwanaume hufaiii unamwibia vipi mwanamke??unajuaje wat if she planned kujilipia?inahuu
 
Back
Top Bottom