Wadada, kwa nini mambo haya yameshamiri siku hizi?

Wadada, kwa nini mambo haya yameshamiri siku hizi?

MBWEMBWE za wanaume kujidai wanaweza kumbe hakuna lolote, always be who you are (if you don't have any thing don't act, if you live on TZS 10,000 per day don't change, if you don't car usiazimishe, if it's pleasure for sex just be open)
 
Ukiona mwanamke anakodolea sana mali au fedha ya mwanaume, ujue hamna kitu hapo...

Mwanamke huyo kamwe narudia tena kamwe hawezi kuja kuwa mshauri mzuri wa mwanaume decent kama wakifunga ndoa...

Hata hivyo wanawake wa aina hii wana aina yao ya wanaume ambao ni saizi yao...
 
Nadhani wanawake huwa ni washauri wazuri na wabahili na wachungu kwenye hela na matumizi yake! Sasa ukiona mpenzi wako anataka starehe tu na hakuna ushauri hata wa maana anaoutoa fikiri mara mbili halafu nyie wanaume usipende kumshirikisha mchumba kila mipango yako ni wazi mipango mingine inaweza kuwa na manufaa lkn ikawa inaingiliana na interest zake mf mm wakati namchumbia mke wangu kuna muda nilimuhaidi mwaka flani nitaenda kulipa mahari hivi sasa nakusanya pesa make nilikuwa nimejitambulisha muda kwao huko. Sasa kila nikitaka kununum samani za ndani mf kabati, jiko la gesi nk nikimshirikisha anakataa eti ntamaliza hela na ntakuwa siendi kwao! Mm nikawa nanunua kimyakimya akija getto anasifia sana niliyoyafanya nikawa simsomi kabisa, nikanunua plot nikampeleka akaponda ile mbaya mara huku mbali then ni kijijini halafu porini nani ataishi huku km vipi tupauze tu! Da nilichoka nikamfuata dalali alienipeleka nikampa hadithi zote akanishauri vizr sana kwamba dsm hakuna mbali nisubiri 2 yrs ntajionea mwenyewe na nisipende kuwasikiliza wanawake! Baada ya 2yrs nilikuta hadi magorofa na nyumba za maana nikampeleka tena mchumba hapo ss alishakuwa wife, hakuamini macho yake! Alitamka tena kwa kinywa chake tusipauze mume wangu! Nikampa live vidonge vyake hivi sasa tunatarajia kumalizia ujenzi na hela ya finishing kasema atatoa yy maana hata nilipoanza kujenga alianza ubishi nikafanya kimyakimya nikamsuprize tena akakuta nyumba hiyo ndo anataka atoe hela ya finishing namsikliyia! Wanaume tuishi na wanawake kwa akili hata bible imesema hivyo!
 
Mada nzuri sana...sasa hivi tuna kizazi ambacho kinatazama maisha tofauti sana....unaweza kumwita mwanamke...nyumbani kwako...ndani una unga mchele, samaki ,kuku na kila kitu....lakini mkashangaa mnaenda kununua chips....badala ya kutake hardly 15 min kupika..ila wakati mwingine inategemea MISINGI ya mahusiano yenu

wengi wao kupika hawajui.
 
kina dada wapenda hela mjini wanatupa changamoto za kutafuta,sio mdada unamnunulia pepsi na chips kavu anakubali kujiachia na wewe.
 
Kuna rafiki zangu 5 na work mates kama watatu wameachana na wachumba zao kisa wanapenda vitu vya gharama kubwa kuliko uhalisia wa maisha. Wanalalamika kwamba hao WACHUMBA matumizi ya kuwahudumia wao tu hata mwisho wa mwezi haufiki wanajikuta hawana kitu. Kuna wengine mpaka hata kukutana wanataka hotelini na jamaa anakuwa amepanga nyumba ambayo anaishi peke yake. Kuna mwingine mpaka akawa anamshauri jamaa awe anafanya shopping ya vyakula vya kutumia super market. Wakiongelea kuhusu kuwekeza hawawaelewi, kuna mmoja ndo alikata mawasiliano kisa jamaa kanunua kiwanja na ye alikuwa anahitaji hela ili anunue vitu vyake. Nachojiuliza, ni kwanini siku hizi mdada ambaye unategemea kuwa mtaishi pamoja anakuwa mchunaji kuliko hata madada poa? Siku hizi hamna mawazo ya kujenga familia na hao wakaka mnaokuwa nao? why? Najua wapo wenye hela zao za kuhonga na kustarehe sana.! Cc@snowhite, Nyamayao Badili tabia @aspirin na wengineo wenye familia zao, enzi zenu za kuwinda na kuwindwa mambo yalikuwaje.?

Love made in Bongo = usanii mtupu!
 
for me naona ni effect za BROKE GUYS kuvunja mioyo ya kna dada,mtu anaona she has nothing to lose anymore,..
Mi mwenyewe hapa sio mtangaza njaa kwa my man but siko tayari kudate mwanaume choko everrrr again...bora niwe heartbroken na mwenye nazo,will compensate my loss for material things,hata broke guys ushuzi tuu,mwanaume lakn ye ndo mlia njaa wee,na bado akutose aaargH...SIRUDI TENA HUKO,SIPATAKI KABISAAA...
Eventually every1 will hurt you JUST FIND WHAT'S WORTH THE HURT...and that is mwanaume mwenye nazo na anaejielewa,i believe in love lakini sio kwa mwanaume kunisumbua weee,af mkwanja wenyewe HANAA,mi mwenyewe bado sijazipata vizuri,atlst mmoja awe nazo.period

Kwa hiyo we unamchuna hata aliyekutangazia ndoa na yupo serious na uhusiano? Baadaye unaanza kulaumu kwamba,mwanaume mwenyewe hana hata nyumba! Aitoe wapi na we ulikuwa unamkamua? Na bahati mbaya hela zenyewe hata hamna cha maana mnachofanyia zaidi ya starehe! Pesa zote zinaishia kwenye mavazi, na pombe.
 
huwa nawaambia wanaume wenzangu tafuteni pesa . wanawake wa sasa wameweka tamaa mbele. Pesa ndio Kila kitu kwa Hawa viumbe wa usiku hizi. Ukiwa nazo utafanya /utaamua unachotaka na utaheshimiwa.

Tafuteni pesa kwanza na hayo yote mtayapata.

money, power and respect.
 
We need independent women. mwanamke ambaye atapambana bila viupendeleo / vipaumbele kutoka kwa wanaume.
 
Pole sana... Njoo kwangu mie sijui kuchuna kabisaaa..!

Nitakushauri ununue kiwanja, ujenge na kuwekeza... Sitajali kupanda Daladala..!

Ha,ha,ha. Mkuu mpaka sasa tunaogopa hata kuingia kwenye uhusiano na watu waliopitia higher learning. Yaani ni wachunaji balaa.
 
Dah. Polen sana. Ila money is not the first priority in a relatship however is part of. So if u have give it to her. Kama huna sit down muongee. After that utajua what kind of woman is that. Easy like that

Siku hizi hicho ndio priority! Kama huna hela na haoni matumizi anaanza kukuzingua.
 
Kwa hiyo we unamchuna hata aliyekutangazia ndoa na yupo serious na uhusiano? Baadaye unaanza kulaumu kwamba,mwanaume mwenyewe hana hata nyumba! Aitoe wapi na we ulikuwa unamkamua? Na bahati mbaya hela zenyewe hata hamna cha maana mnachofanyia zaidi ya starehe! Pesa zote zinaishia kwenye mavazi, na pombe.

i dont drink pombe mkuu,
ntasoma upepo na mtu mwenyewe,ndoa mbona ndo gia yenu kutupata kumbe uongo,
 
Hawajielew nahisi
Yaani utadhani hawawez kusurvive bila mfuko Wa mwanaume

Yes most of them wamelelewa kwamba hawawezi kusurvive bila wanaume. Hili ni janga la kitaifa.

Wameambiwa bila mwanaume kumsaidia hawezi kupata kazi, kupandishwa cheo, kuwekeza, kupata ubunge au uwaziri katika serikali (Viti maalum) .
 
We need independent women. mwanamke ambaye atapambana bila viupendeleo / vipaumbele kutoka kwa wanaume.

wengine mnasema tu hapa ,independent women intimidate some of you...mtu anakuona tishio kabisa
 
Nadhani wanawake huwa ni washauri wazuri na wabahili na wachungu kwenye hela na matumizi yake! Sasa ukiona mpenzi wako anataka starehe tu na hakuna ushauri hata wa maana anaoutoa fikiri mara mbili halafu nyie wanaume usipende kumshirikisha mchumba kila mipango yako ni wazi mipango mingine inaweza kuwa na manufaa lkn ikawa inaingiliana na interest zake mf mm wakati namchumbia mke wangu kuna muda nilimuhaidi mwaka flani nitaenda kulipa mahari hivi sasa nakusanya pesa make nilikuwa nimejitambulisha muda kwao huko. Sasa kila nikitaka kununum samani za ndani mf kabati, jiko la gesi nk nikimshirikisha anakataa eti ntamaliza hela na ntakuwa siendi kwao! Mm nikawa nanunua kimyakimya akija getto anasifia sana niliyoyafanya nikawa simsomi kabisa, nikanunua plot nikampeleka akaponda ile mbaya mara huku mbali then ni kijijini halafu porini nani ataishi huku km vipi tupauze tu! Da nilichoka nikamfuata dalali alienipeleka nikampa hadithi zote akanishauri vizr sana kwamba dsm hakuna mbali nisubiri 2 yrs ntajionea mwenyewe na nisipende kuwasikiliza wanawake! Baada ya 2yrs nilikuta hadi magorofa na nyumba za maana nikampeleka tena mchumba hapo ss alishakuwa wife, hakuamini macho yake! Alitamka tena kwa kinywa chake tusipauze mume wangu! Nikampa live vidonge vyake hivi sasa tunatarajia kumalizia ujenzi na hela ya finishing kasema atatoa yy maana hata nilipoanza kujenga alianza ubishi nikafanya kimyakimya nikamsuprize tena akakuta nyumba hiyo ndo anataka atoe hela ya finishing namsikliyia! Wanaume tuishi na wanawake kwa akili hata bible imesema hivyo!

Umeeleza vizuri sana Man. Nimeipenda. Tuwapende, lkn akili mu kichwa.
 
Hehehehe,mwanaume hela banaa!!Wakaka acheni ubahili.

Kwani we kutafuta za kwako huwezi!? Mwanaume atafute hela za kujenga nyumba, gari, na za kununulia vitu vyako vya ajabu ajabu?
 
wakati mwingine na nyie mnachosha bana

btw,inategemeana mwanzo wa mahusiano yenu mlianzaje,na mna mipango gani,na mipango yenu kama inatekelezeka..
ukiwa haueleweki eleweki na wao wanaamua kuchukua chao mapema
 
Back
Top Bottom