Wadada, kwa nini mambo haya yameshamiri siku hizi?

Nyalotsi

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
6,989
Reaction score
5,069
Kuna rafiki zangu 5 na work mates kama watatu wameachana na wachumba zao kisa wanapenda vitu vya gharama kubwa kuliko uhalisia wa maisha.

Wanalalamika kwamba hao WACHUMBA matumizi ya kuwahudumia wao tu hata mwisho wa mwezi haufiki wanajikuta hawana kitu. Kuna wengine mpaka hata kukutana wanataka hotelini na jamaa anakuwa amepanga nyumba ambayo anaishi peke yake.

Kuna mwingine mpaka akawa anamshauri jamaa awe anafanya shopping ya vyakula vya kutumia super market. Wakiongelea kuhusu kuwekeza hawawaelewi, kuna mmoja ndo alikata mawasiliano kisa jamaa kanunua kiwanja na ye alikuwa anahitaji hela ili anunue vitu vyake.

Nachojiuliza, ni kwanini siku hizi mdada ambaye unategemea kuwa mtaishi pamoja anakuwa mchunaji kuliko hata madada poa?

Siku hizi hamna mawazo ya kujenga familia na hao wakaka mnaokuwa nao? why? Najua wapo wenye hela zao za kuhonga na kustarehe sana.!

Cc@snowhite, Nyamayao Badili tabia @aspirin na wengineo wenye familia zao, enzi zenu za kuwinda na kuwindwa mambo yalikuwaje.?
 
Mada nzuri sana...sasa hivi tuna kizazi ambacho kinatazama maisha tofauti sana....unaweza kumwita mwanamke...nyumbani kwako...ndani una unga mchele, samaki ,kuku na kila kitu....lakini mkashangaa mnaenda kununua chips....badala ya kutake hardly 15 min kupika..ila wakati mwingine inategemea MISINGI ya mahusiano yenu
 
Kuna moja nilita kuanza naye uhusiano, ni mdada na kazi yake nzuri tu kaanza kunichomoa ile tu nilivyomuweka karibu. Mara niescot sehemu, akifika anatamani vitu vinavyouzwa, kulipa ananiangalia mimi. Na mavitu yao wanayopenda siku hizi yalivyo gharama!! Siku moja tulitoka out akanywa mapombe yake ya gharama mie nakunywa zangu juice. Baadaye ananiuliza, leo si tunaenda hotelini? hoteli yenyewe anayotaja ni zaidi ya 150000! Nikaona huyu atasababisha niuze na kiwanja, nikajifanya napokea simu ya kazini nikamkodia tax impeleke kwake nikasepa.
 
Inawezekana jamaa anawaza huyu ndo atakuwa mama watoto lakini mdada ye mahesabu yake hapa napita tu, sa mambo ya we kununua kiwanja hayamuhusu kabisa anaona unamzingua tu.
 
Mada nzuri sana...sasa hivi tuna kizazi ambacho kinatazama maisha tofauti sana....unaweza kumwita mwanamke...nyumbani kwako...ndani una unga mchele, samaki ,kuku na kila kitu....lakini mkashangaa mnaenda kununua chips....badala ya kutake hardly 15 min kupika..ila wakati mwingine inategemea MISINGI ya mahusiano yenu

Mkuu vijana tunaogopa hata kuoa kwa kuogopa gharama za kumgharimia yeye tu! Sie wafanyakazi mshahara wote utaishia huko. Unakuta mlivyoanza ni kawaida tu! Unajua first date huwezi ukamuita aje kwako. Mtaenda sehemu mkala na kunywa juice. Sasa atataka hayo ndio yawe maisha yenu siku zote. Na miaka inavyozidi kwenda anauliza utanioa lini? Au anabeba mimba ili umuoe! Mi ntakuoaje na we upo kisela zaidi? Na baadaye zitakuja lawama za umenichezea na kuniacha, loh! Na hawa waliobahatika kuingia na chuoni ndio balaa kabisa. Yaani maisha ya uchumba siku hizi huwezi kuta mdada anakushauri kuhusu kununua kiwanja, kujenga au kuwekeza. Sana sana atakushauri ni ununue gari basi.
 
Ina maana siku hizi hawafikirii kuhusu kuolewa na kujenga familia. Au ndo yale ya kusubiria ambaye ameshajenga, ana gari na kila kitu? Na akishapita 30 anazaa na yeyote aliye mbele yake.
 
Inategemea ulianzanae situation gani, kama siku ya kwanza ulianzima v8 ya rafiki yako, ukakopa na hela iliuende nae golden tulip, huko mbele ya safari unadhali atakuelewa hayo? Hawa viumbe wako hivi; akikuomba hela mnyime atakama unayo halafu mskilizie utajua anakupenda au anapenda wallet yako
 
Siku hizi wanakupeleka eneo la tukio na gharma utazikuta huko huko anapochagua anavyovitaka yeye. Tuna huwa hawajigusi kuulizia hata bei na kukamongo. Anakusanya wee aafu bei anajifanya anauliza baadaye.
 
for me naona ni effect za BROKE GUYS kuvunja mioyo ya kna dada,mtu anaona she has nothing to lose anymore,..
Mi mwenyewe hapa sio mtangaza njaa kwa my man but siko tayari kudate mwanaume choko everrrr again...bora niwe heartbroken na mwenye nazo,will compensate my loss for material things,hata broke guys ushuzi tuu,mwanaume lakn ye ndo mlia njaa wee,na bado akutose aaargH...SIRUDI TENA HUKO,SIPATAKI KABISAAA...
Eventually every1 will hurt you JUST FIND WHAT'S WORTH THE HURT...and that is mwanaume mwenye nazo na anaejielewa,i believe in love lakini sio kwa mwanaume kunisumbua weee,af mkwanja wenyewe HANAA,mi mwenyewe bado sijazipata vizuri,atlst mmoja awe nazo.period
 
Mkuu vijana tunaogopa hata kuoa kwa kuogopa gharama za kumgharimia yeye tu! Sie wafanyakazi mshahara wote utaishia huko. Unakuta mlivyoanza ni kawaida tu! Unajua first date huwezi ukamuita aje kwako. Mtaenda sehemu mkala na kunywa juice. Sasa atataka hayo ndio yawe maisha yenu siku zote. Na miaka inavyozidi kwenda anauliza utanioa lini? Au anabeba mimba ili umuoe! Mi ntakuoaje na we upo kisela zaidi? Na baadaye zitakuja lawama za umenichezea na kuniacha, loh! Na hawa waliobahatika kuingia na chuoni ndio balaa kabisa. Yaani maisha ya uchumba siku hizi huwezi kuta mdada anakushauri kuhusu kununua kiwanja, kujenga au kuwekeza. Sana sana atakushauri ni ununue gari basi.

Pole sana... Njoo kwangu mie sijui kuchuna kabisaaa..!

Nitakushauri ununue kiwanja, ujenge na kuwekeza... Sitajali kupanda Daladala..!
 
Umeongea jambo la busara sana,mara nyingi uhusiano unavyoanza ndivyo utakavyokua,kama ulianzisha uhusiano na mdada ukajionyesha una pesa ya kuhonga ndivyo mahusiano yatakavyokwenda,ila kama ulianzisha simple relationship ndivyo itakavyoendelea pia,kama mdada alikuja kwako kwa minajili ya kukuchuna ataondoka mwenyew au kubadili malengo yake.
Mada nzuri sana...sasa hivi tuna kizazi ambacho kinatazama maisha tofauti sana....unaweza kumwita mwanamke...nyumbani kwako...ndani una unga mchele, samaki ,kuku na kila kitu....lakini mkashangaa mnaenda kununua chips....badala ya kutake hardly 15 min kupika..ila wakati mwingine inategemea MISINGI ya mahusiano yenu
 
Hehehehe,mwanaume hela banaa!!Wakaka acheni ubahili.
 
for me naona ni effect za BROKE GUYS kuvunja mioyo ya kna dada,mtu anaona she has nothing to lose anymore,..
Mi mwenyewe hapa sio mtangaza njaa kwa my man but siko tayari kudate mwanaume choko everrrr again...bora niwe heartbroken na mwenye nazo,will compensate my loss for material things,hata broke guys ushuzi tuu,mwanaume lakn ye ndo mlia njaa wee,na bado akutose aaargH...SIRUDI TENA HUKO,SIPATAKI KABISAAA...
Eventually every1 will hurt you JUST FIND WHAT'S WORTH THE HURT...and that is mwanaume mwenye nazo na anaejielewa,i believe in love lakini sio kwa mwanaume kunisumbua weee,af mkwanja wenyewe HANAA,mi mwenyewe bado sijazipata vizuri,atlst mmoja awe nazo.period

Duuuh!!! Hivi hili neno broke mbona huwa mnapenda kulitumia upande mmoja tu
 
for me naona ni effect za BROKE GUYS kuvunja mioyo ya kna dada,mtu anaona she has nothing to lose anymore,..
Mi mwenyewe hapa sio mtangaza njaa kwa my man but siko tayari kudate mwanaume choko everrrr again...bora niwe heartbroken na mwenye nazo,will compensate my loss for material things,hata broke guys ushuzi tuu,mwanaume lakn ye ndo mlia njaa wee,na bado akutose aaargH...SIRUDI TENA HUKO,SIPATAKI KABISAAA...
Eventually every1 will hurt you JUST FIND WHAT'S WORTH THE HURT...and that is mwanaume mwenye nazo na anaejielewa,i believe in love lakini sio kwa mwanaume kunisumbua weee,af mkwanja wenyewe HANAA,mi mwenyewe bado sijazipata vizuri,atlst mmoja awe nazo.period
fainali uzeeni dada
 
kufikia miaka 5 ijayo wanaume tutakuwa tunagombaniwa sasa ole wenu wanawake ambao hamjuikujishughulisha imekula kwenu

Hahaha,time will tell my friend.Nyie mnaogopa majukumu kisa mtagombaniwa? What a looser!!
 
for me naona ni effect za BROKE GUYS kuvunja mioyo ya kna dada,mtu anaona she has nothing to lose anymore,..
Mi mwenyewe hapa sio mtangaza njaa kwa my man but siko tayari kudate mwanaume choko everrrr again...bora niwe heartbroken na mwenye nazo,will compensate my loss for material things,hata broke guys ushuzi tuu,mwanaume lakn ye ndo mlia njaa wee,na bado akutose aaargH...SIRUDI TENA HUKO,SIPATAKI KABISAAA...
Eventually every1 will hurt you JUST FIND WHAT'S WORTH THE HURT...and that is mwanaume mwenye nazo na anaejielewa,i believe in love lakini sio kwa mwanaume kunisumbua weee,af mkwanja wenyewe HANAA,mi mwenyewe bado sijazipata vizuri,atlst mmoja awe nazo.period

Kabisa dada wanaudhi sana hawa.
 
I wish kungekua na kibutton cha "dislike"
 
Back
Top Bottom