Mapi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 6,848
- 2,741
Walahi ananiona...na kwanin niombe mapi...ukifil kunipa ntashukuru usiponipa pia poa...mtu hatoish kwa mkate tuu
kauli ya kidhaifu hii....!!!
Walahi ananiona...na kwanin niombe mapi...ukifil kunipa ntashukuru usiponipa pia poa...mtu hatoish kwa mkate tuu
kauli ya kidhaifu hii....!!!
hehehhe my dear,siku ukishaingizwa kingi maybe u wil know better
nlishakuwaga na ths guy,ukimuona utasema he is well off vibayaa mno,na me nkajua hvo,mapema tu kwny uhusiano akanieleza his life is not straight yet na kweli by then we were both in school japo ye mfanyakazi,mi nkaona sawa,and i was happy he wasnt faking anything,mtoto wa kike nkaendelea nae and i wasnt expecting anythng from him,..he smtymz ran out of cash and i had to supplement vitu mi sikuona shida,but alikuja kunitosa kweupee na kunisumbua sana badae and i wondered,I TOTALLY DONT WANT TO DATE A BROKE GUY EVERRRR AGAIN,mana ni wasumbufu tuuu,af saiv unambie nimdate mtu kiholela tu in the name of love,NO,LAZMA NIANGALIE POTENTIAL YA MTU KWANZA
kuna mkaka tupo nae ofosini ni mkaka wa mujini haswaa, na alikuwa ana date vidada virembooo vya mjini, yule kaka akaja kutamani kuoa, akawa anatuambia jamani sioni wanawake wa kuoa kabisa, na ninataka kuoa, wote nilionao ni wa ice cream na pizza,clubs, mie nilimwambia type zako ulizonazo hutakaa uoe, watakupasua kichwa tu badili choice yako utakuja kuniambia, mkaka kashapata mchumba, ikipendeza tutakula mchele tukimaliza Easter,so wadada wa kuoleka wamejaa tele sema nyie ndio mnataka hao watoto wa mujini ndio mnaowaona wanapendeza machoni mwa hadhara,(kupendeza kwenyewe ni makope, ma kucha ya kubandika etc) kuna wadada bwana wapo simple but sure, na ni wa mjini pia, lakini hawana makuu, ukituliza kichwa utawaona tu.
kauli ya kidhaifu hii....!!!
Wewe huna potential halafu utampata vp mtu mwenye potential...hahahhaha
kwa kuangalia Id ya JF can u tell potential ya mtu?tuanzie hapo
Walahi ananiona...na kwanin niombe mapi...ukifil kunipa ntashukuru usiponipa pia poa...mtu hatoish kwa mkate tuu
hivi kwa nini ukizoweshwa kempiski unajifanya kuzowea hadi kushindwa kubadirika...??? Na ukizoweshwa kajamba nani unakataa ndoa... Mbwaku kwa kweliHaya maneno yanahusika sana.
Kuna uncle mmoja aliniusia, kitambo tu, ukitaka kuoa oa mwanamke ambaye hatakuletea matatizo.
Sio mtu bajeti kali, mwanamke anapenda kujirusha, umemzoeza kwenda viwanja kwa mbinde za "uambasada" wa kutafuta viza ya kupona, mnaenda vi date vya kuhesabika mwenzako anafikiri yale ndiyo maisha yatakavyokuwa. Unamuoa na kuanza kutaka kumpikisha bada kwa kisamvu cha mtaro wa uani.
Na safari za Serena zinabadilika kuwa kwenda Muhoro kwa bibi.
Lazima akwambie "maisha haya sijazoea mimi" na ndoa/ uhisiano uingie nongwa.
We gotta be real nowadays, kama ni mwendo wa daladala utahusika full disclosure kinaeleweka daladala linahusika.
Kama nguru wa kuchoma kwa bada na togwa la jana, mumo humo.
Sio mtu unalianzisha kwa full mashauzi, halafu unakata umeme katikati bila taarifa kama TANESCO.
Vitu viwili vinaharibu mahusiano/ ndoa.
Kutumia fedha kama fimbo na kuangalia sana uzuri wa nje.
hivi kwa nini ukizoweshwa kempiski unajifanya kuzowea hadi kushindwa kubadirika...??? Na ukizoweshwa kajamba nani unakataa ndoa... Mbwaku kwa kweli
Mwanamke ukimpenda, hata kabla hajaishiwa jibaba usha take over na ku cover, halafu hicho ulicho cover nacho hata kabla hakijaisha usharudi ku cover upya.
Kiasi na yeye ajisikie ana mtu anamjali.
Hlafu pia vidani vidani, nguo nguo kama anamind muhimu kumsuuza navyo kila mara.
Halafu kumtoa toa outings kama tambiko au ibada.
Halafu ikibidi kama usafiri wake umechoka unampiga na kitu cha nguvu.
Hata kabla hujaombwa wala nini, ni kuonesha tu kwamba unamjali.
Lakini haya hayafanywi kwa chickenhead yeyote, ni mwanamke wa shoka tu.
Mambo unayosema yanatosheleza kufanya mtu ajue hilo
Haya maneno yanahusika sana.
Kuna uncle mmoja aliniusia, kitambo tu, ukitaka kuoa oa mwanamke ambaye hatakuletea matatizo.
Sio mtu bajeti kali, mwanamke anapenda kujirusha, umemzoeza kwenda viwanja kwa mbinde za "uambasada" wa kutafuta viza ya kupona, mnaenda vi date vya kuhesabika mwenzako anafikiri yale ndiyo maisha yatakavyokuwa. Unamuoa na kuanza kutaka kumpikisha bada kwa kisamvu cha mtaro wa uani.
Na safari za Serena zinabadilika kuwa kwenda Muhoro kwa bibi.
Lazima akwambie "maisha haya sijazoea mimi" na ndoa/ uhisiano uingie nongwa.
We gotta be real nowadays, kama ni mwendo wa daladala utahusika full disclosure kinaeleweka daladala linahusika.
Kama nguru wa kuchoma kwa bada na togwa la jana, mumo humo.
Sio mtu unalianzisha kwa full mashauzi, halafu unakata umeme katikati bila taarifa kama TANESCO.
Vitu viwili vinaharibu mahusiano/ ndoa.
Kutumia fedha kama fimbo na kuangalia sana uzuri wa nje.
Mwanamke ukimpenda, hata kabla hajaishiwa jibaba usha take over na ku cover, halafu hicho ulicho cover nacho hata kabla hakijaisha usharudi ku cover upya.
Kiasi na yeye ajisikie ana mtu anamjali.
Hlafu pia vidani vidani, nguo nguo kama anamind muhimu kumsuuza navyo kila mara.
Halafu kumtoa toa outings kama tambiko au ibada.
Halafu ikibidi kama usafiri wake umechoka unampiga na kitu cha nguvu.
Hata kabla hujaombwa wala nini, ni kuonesha tu kwamba unamjali.
Lakini haya hayafanywi kwa chickenhead yeyote, ni mwanamke wa shoka tu.
Mada nzuri sana...sasa hivi tuna kizazi ambacho kinatazama maisha tofauti sana....unaweza kumwita mwanamke...nyumbani kwako...ndani una unga mchele, samaki ,kuku na kila kitu....lakini mkashangaa mnaenda kununua chips....badala ya kutake hardly 15 min kupika..ila wakati mwingine inategemea MISINGI ya mahusiano yenu
lengo lilikuwa kupima reaction yake kama ujuavyo kwa asilimia kubwa ya wanawake fedha ni mapenzi, nikafurahi kuona walau wapo wachache wanaowaza tofauti hivyo nikapima msimamo isijekuwa ni maneno tu.Nafikiri kauli ya "mtu hatoishi kwa mkate tu" katika context iliyotolewa hapa, si ya kidhaifu.
Ni kauli inayoangalia mahusiano kwa upana wa zaidi ya mambo ya kiuchumi tu, kwa sababu mahusiano yanahusisha pia kuchangiana kimawazo, kujengana kisaikolojia, kurushana vizuri kunako et cetera et cetera.
Sioni udhaifu unakuja vipi kama kauli hii imeongeza wigo wa mahusiano bila kuuondoa mkate, kwamba mahusiano ingawa yanaweza kuhitaji mkate, hayaishii kwenye mkate.
Mimi naona kuiona kauli hii kuwa ya kidhaifu ndiyo udhaifu wenyewe.
Kwa kweli kuishia kwenye mkate katika mahusiano ni aina fulani ya uchangudoa.
lengo lilikuwa kupima reaction yake kama ujuavyo kwa asilimia kubwa ya wanawake fedha ni mapenzi, nikafurahi kuona walau wapo wachache wanaowaza tofauti hivyo nikapima msimamo isijekuwa ni maneno tu.
nilikuelewa, nlikuwa napima upepoMaybe hujaielewa...but any how am not a weak bitch...over!