Mapi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 6,848
- 2,741
unafurahi??Huhuhu...thijui
unafurahi??Huhuhu...thijui
unafurahi??
Pole sana... Njoo kwangu mie sijui kuchuna kabisaaa..!
Nitakushauri ununue kiwanja, ujenge na kuwekeza... Sitajali kupanda Daladala..!
Hehehehe,mwanaume hela banaa!!Wakaka acheni ubahili.
Hao walichakazana, tatizo mnafikiriaga upande wenu tu kwamba ndio mnaachwa. Wanaume huwa wanaumia kimya kimya hawatangazi kuachwa! Na wengine anaoachana nao ni kwa sababu wametofautiana interest na wachunaji. Nikishaona uko kimatumizi zaidi nasepa mapemaaaa na we unaanza kulalamika nimekuacha.!
Nishawahi kuwa a girl of less matumizi kwa my man,me najitaftia pesa angu,nkajua ntakuwa exceptional lakini nkaambulia kuachwa,ya kazi gani tena,siwezi tumia similar method nikaexpect different results,
hadi nilikuwa nakumbuka my ex bf's,mwingine had alikuwa ananiambia nimuombe hela,mwingine nikitaka hela ananiambia walau nimwambie a week before na yote nliowahi kuomba alinipa na smtym bila hata kumuomba,na hakuwa msumbufu,Broke man sasa ,aaah,sina hamu sijawahi pewa hela yake hata moja,na sikuiomba lakini,still bado akanitosa,aaah,NOT AGAIN,i learnt my lesson already...sipendi mwanaume mkono wa birika,me kutoa vyangu sio tatizo,will insure myself effectively ths tym,
Badiebey hebu funguka vizuri hapa, uliwahikuw na ex bf ambae alikuwa anakuuliza mbana humuombi hela na wakati mwingine anakupa bila kuomba; lakini mkaachana, then ukapata BROKE guy naye miaachana.
Sasa huwezi kuona kuwa wewe ndio una matatizo ndio maana unaachwa? Weka mambo jamvini
Nilichojifunza hapa kwa maelezo yako ni kwamba umetumika mara nne while hao waliokutumia wewe wao wametumika mara moja moja kupitia ww, ingekuwa ni hesabu za set wewe ungekuwa intersectionnimeachwa twice,nimeacha twice,ngoma draw,kuwa na matatizo my friend kila binadamu anayo,however najitahidi kuwa a good woman,better than ystdy,ila pia si guarantee utapendwa kwa sababu hiyo....kuachana,kuachwa ts part of life,
hapa we are talkn abt the money part,nmejifunza kitu kulingana na nliyopitia,..sitaki ku'date a man ambae anaweza niumiza af pia matunzo yawe F,..never again