Wadada, kwa nini mambo haya yameshamiri siku hizi?

Wadada, kwa nini mambo haya yameshamiri siku hizi?

There are men and men. There are men by Gender and there are men by body.spirit and responsibilities. They are few and careful.
 
Akjfnya wa mjn we jfnye wa jijini coz ni tamaa ndo znawaponza hawa wnawke wa cku hz.
 
Hivi demu ushamgegeda hw come bado anaendelea kukusumbua,ukiona hafanyi unavyotaka na hana future plan ya maisha yenu yako/yake unamtapika kwani lazima kuwa nae.
 
Tatizo la wavulana hawajui wanawake wa level zao, hiyo ndio shida kubwa sana jitambueni kwanza mnawaonea bure wanawake.

Watu wanataka kupona kwa kujitutumua kwingi, gesi ya soda ikiisha tu, mambo yana settle kwenye level yake halisi.

Bibie anashangaa mbona mambo ya mtoko yanapungua?

Na vibinti vyenyewe vya mjini hivi, ukianza na story za shopping Dubai basi ndo ujue deni unalo.
 
Sio wanawake tu, hata wanaume wenye tabia hiyo wapo wengi. Ukiona mtu maitaji yake na kustarehe zake kazipa kipaumbele, jua hajupo tayari kuwa na wewe. Na ukiona kapandisha maitaji yake yamekua ya gharama, anataka kukukomoa.

Wao wanataka wakufirisi na husiwe na chochote, siku hauna pesa wanakimbia.

Kuna mzee mmoja kutoka mbeya ali ua mke wake, akatokomea kusikojulikana.
Waliishi mjini katika ndoa miaka 37 na kuzaa watoto 2 na mkewe, waliishi nyumba ya kupanga, uzeeni sindo kustaafu.
Akamuambia mke waende kijijini kwa mume, mbeya wakaishi, mke akamuambia mume hawezi kuishi kijijini, na kumlaumu mume pesa zote zile alizokua amelipwa hakufikiria kujenga nyumba mjini, si ingewasaidia. Mwanamke hakufikiria hata yeye hakufikirina pia, na vile vile alikua mwanamke mwenye maitaji mengi yenye gharama.
Mume akaua mke kwa hasira na kutokomea kusiko julikana.
 
Ndugu zangu,wanawake wa leo na mabinti,wengi wananuka shida na njaa.
Unaletewa mahtaji lukuki mpaka ya ukoo wake,tena yasiyo ya msingi,kana kwamba wewe huna ukoo.
Mbaya zaidi wana pretend kuwa high class,kumbe wa hovyo hovyo tu,kung'aa na kupendeza kwao wanategemea wanaume.
Utafikiri ktk mapenzi,wanaume ndyo wanafaidi sana.
Eti mwingne hataki kunywa chai,anataka SUPU NA VITAFUNWA vya gharama,akiwa kwao anatafuna VIPOLO NA CHAI YA RANGI au chai na maandazi/mkate.
MUNGU AWASAIDIE MABINTI NA WANAWAKE wa namna hii,wajitambue.
 
Kuna moja nilita kuanza naye uhusiano, ni mdada na kazi yake nzuri tu kaanza kunichomoa ile tu nilivyomuweka karibu. Mara niescot sehemu, akifika anatamani vitu vinavyouzwa, kulipa ananiangalia mimi. Na mavitu yao wanayopenda siku hizi yalivyo gharama!! Siku moja tulitoka out akanywa mapombe yake ya gharama mie nakunywa zangu juice. Baadaye ananiuliza, leo si tunaenda hotelini? hoteli yenyewe anayotaja ni zaidi ya 150000! Nikaona huyu atasababisha niuze na kiwanja, nikajifanya napokea simu ya kazini nikamkodia tax impeleke kwake nikasepa.
Hhuyo bila dhaka kama namjua wacha niminye jina la mwanamke
 
Back
Top Bottom