mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,811
- 11,031
"Mwanamke shape tabia tutarekebishana
mwanaume pesa sura tutavumiliana......"
mwenzio anaangalia mbali zaidi jamani, wasi wasi wake ni hizo sura za wanae zitakuwaje?
"Mwanamke shape tabia tutarekebishana
mwanaume pesa sura tutavumiliana......"
"Mwanamke shape tabia tutarekebishana
mwanaume pesa sura tutavumiliana......"
sio kwamba sina wa kunioa!yaani kwangu ndoa ipo nje nje
tatizo hawa wachumba wana sura mbaya sio wazuri na mimi nataka mahandsome.nifanyeje?
kila naempata sura matatizo.nikiacha hapa nakoelekea sura ngumu zile zile!
do u have anything special to offer in equivalency to what you want?sio kwamba sina wa kunioa!yaani kwangu ndoa ipo nje nje
tatizo hawa wachumba wana sura mbaya sio wazuri na mimi nataka mahandsome.nifanyeje?
kila naempata sura matatizo.nikiacha hapa nakoelekea sura ngumu zile zile!
sio kwamba sina wa kunioa!yaani kwangu ndoa ipo nje nje
tatizo hawa wachumba wana sura mbaya sio wazuri na mimi nataka mahandsome.nifanyeje?
kila naempata sura matatizo.nikiacha hapa nakoelekea sura ngumu zile zile!
mi mkristo siwezi kuwa na jini.majini ni ya waislam wanayafugaUna jinni mahaba!
nipo sana bahati mbaya tu.Wanaume handsome na wenye kila kitu wapo tena wengi. Ukiona huwapati ujue huwavutii. Hao ugly ndo unawavutia. Hmmm kuna kitu kwako hakiko sawa manake ma handsome wenye sifa zote wako selective manake madem huwashobokea kinoma. Sasa wewe ujue kwenye kundi la madem bora haumo!
so manydo u have anything special to offer in equivalency to what you want?
nipo perfect la sivo nisingepata wachumba hawa. ni wa maana sema tu misura yao mibayaBasi hata na wewe sura mbaya pia.
Au tabia yako mbaya.
Na akili yako yaonesha ni mbaya pia.
Unataka sharobaro weye?
Mtu mweye akili nzuri uangalia uimara
wa mt,ugali upo? Upendo upo? Akili ipo??
husiwapoteze muda wanawake watakao wakubali l
wapo
hapa hapa mjiniunawatoaga wapi hao?
so many