Gamaha
JF-Expert Member
- Jul 17, 2008
- 3,945
- 5,082
"Mwanamke shape tabia tutarekebishana
mwanaume pesa sura tutavumiliana......"
Ha ha hii nimeikubali, salute kwako dada wa jukwaa la mwisho
"Mwanamke shape tabia tutarekebishana
mwanaume pesa sura tutavumiliana......"
sijui kama picha za harusi nitathubutu kuweka facebook mwenzangu
sio kwamba sina wa kunioa!yaani kwangu ndoa ipo nje nje
tatizo hawa wachumba wana sura mbaya sio wazuri na mimi nataka mahandsome.nifanyeje?
kila naempata sura matatizo.nikiacha hapa nakoelekea sura ngumu zile zile!