Tatizo wanawake mnapenda sana harusi na picha za harusi kuliko ndoa yenyewe..
Sasa uzuri wa Mwanaume una msaada gani, kama wewe ni mzuri yeye hata akiwa mbaya si ndio mna balance familia..
Tuache ubaguzi sasa kama wazuri na handsome wakiona wenyewe kwa wenyewe unamaanisha wabaya nao wabaki wabaya hivyo hivyo hadi vizazi vyao?
Swala la uzuri na ubaya haupangi wewe, so aliyefanya hao wanaume wawe wabaya ndio aliyekupa wewe uzuri..
Wanawake kama nyinyi kwa bahati mbaya akipatikana mtoto mwenye ulemavu hamchelewi kumtupa maana mnapenda sana maisha ya picha..
Maisha yana changamoto nyingi sana wewe sema wenzako wabaya wakati hujui nini kitakutokea in future as HUJAFA HAUJAUMBIKA