Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,671
- 167,734
mwenzio anaangalia mbali zaidi jamani, wasi wasi wake ni hizo sura za wanae zitakuwaje?
Hawezi jua wanaeza fanana hata na ba mdogo!!!
sio lazma kufanana na mdingi....

/QUOTE]]wananipenda sana[
ha ha ha kwi kwi kwi!!!!!!!!!
Hawezi jua wanaeza fanana hata na ba mdogo!!!
sio lazma kufanana na mdingi....
hapa bongo sura ni hizo hizo za baba yao mizengo.... wewe potezea labda uhame nchi
sio kwamba sina wa kunioa!yaani kwangu ndoa ipo nje nje
tatizo hawa wachumba wana sura mbaya sio wazuri na mimi nataka mahandsome.nifanyeje?
kila naempata sura matatizo.nikiacha hapa nakoelekea sura ngumu zile zile!

ha ha haaa Smile unamcheka baba yangu...Afu bado hujazaa wewe...hapa bongo sura ni hizo hizo za baba yao mizengo.... wewe potezea labda uhame nchi
anasubiri ndege bandarini huyu?