wachumba zangu wana sura mbaya

wachumba zangu wana sura mbaya

....hapana, nilimaanisha wana mioyo mizuri?
sana sana kama malaika sura zao tu ndo mbaya na mimi nataka sura nzuri na muundo mzuri wa kiume,yaani hawanisisimui kwa kweli
 
sio kwamba sina wa kunioa!yaani kwangu ndoa ipo nje nje
tatizo hawa wachumba wana sura mbaya sio wazuri na mimi nataka mahandsome.nifanyeje?
kila naempata sura matatizo.nikiacha hapa nakoelekea sura ngumu zile zile!

we sura yako ni nzuri? maana ndege wafananao huruka pamoja
 
pesa wanazo ,magari mazuri ,nyumba elimu ila mvuto hawana sura mbaya kweli kweli
kuliko ya pm wetu? mbona pm ana mke mzuri tu
wameona mnafanana ndio maana wamekufuata ila wewe ujijui kama nawe unasura mbaya km ya bi kiroboto mjengoni
 
Teh teh eti sura mbaya......!ila wakat mwingine mtu akiwa hivyo hata kukugusa waona kero jaman,bas wanavyojua kuCare hao usisemeAkiita baby na sura yake haviendani bas unakasirika mpaka bas.
 
sana sana kama malaika sura zao tu ndo mbaya na mimi nataka sura nzuri na muundo mzuri wa kiume,yaani hawanisisimui kwa kweli
Nothing is good or bad but thinking make it to be so.
jaribu kuwafikiria kuwa ni wazuri nao utawaona wazuri.
inaonekana we malaya kwa nin uwe na wachumba wengi? wachumba zangu wana sura mbaya
 
MUNGU aana njia nyingi sana za kuwasulubu WABAGUZI...maana watu ukiwaambia wao ni wabaguzi wanakataa, wanadhani ubaguzi ni wa dini na kabila tu, hata huu wa kutafuta uhandsome pia ni ubaguzi......Racism will never die, it will only multiply.

-UKITAKA WA KABILA LAKO ALWAYS MUNGU ATAKULETEA WA KABILA JINGINE.
-UKITAKA WA DINI YAKO TU, MUNGU ATAKULETEA WACHUMBA WA DINI NYINGINR TU,
-UKITAKA MWENYE HELA , UTALETEWA VIBWAGALA WASIO NA KITU
-UKITAKA MA-HANDSOME, MUNGU ATAKULETEA HAO WASIO HANDSOME N.K

HIYO YOTE NI ANAKUKUMBUSHA KUWA DHAMBI YA UBAGUZI SIO NZURI NA HAITAKUPELEKA POPOTE ZAIDI YA MOTONI.

TUSICHAGUE DHAMBI NA KUZIHALALISHA...DHAMBI NI DHAMBI NA ZOTE ZITAKUPELEKA MOTONI.

USHAURI WANGU KWA DADA YANGU NI KUWA MPOLE NA UKUBALI MUNGU ANACHOKULETEA.
 
nifanyeje rafiki?

aisee ma jery umenikumbusha mbali.....
kuna mdogo wangu aliingia mkenge huo anajuta kila siku, ana watoto 3 ni mbaya zaidi wote photocopy ya baba, sasa hizo sura chacha!!! mbaya zaidi 2 ni wa kike, so reception ni zero! anawazaje wakati ni too late!!!

ushauri wangu, vuta subira halafu weka sura kama kigezo cha kwanza ktk orodha yako. Hii itakufanya hao wenye sura chachu usiwape nafasi hata ya kukusemesha wasije wakakushawishi kwa pesa zao
 
Last edited by a moderator:
Teh teh eti sura mbaya......!ila wakat mwingine mtu akiwa hivyo hata kukugusa waona kero jaman,bas wanavyojua kuCare hao usisemeAkiita baby na sura yake haviendani bas unakasirika mpaka bas.

kwanini mnawakubaliga?
 
kwanini mnawakubaliga?

Ha ha ha.....sijawahi kutoka na mtu wa hivyo,ingawa nshawah kuhitajiwa na mtu wa hivyo.Caring sana na mipango yakuoa juu ingawa hatukuwahi kuDo,nikamwambia kuwa mimi nna mtu kwahiyo aangalie ustaarabu wake.
 
wenzio wanajali hayo niliyobold,sura hata mbuzi anayo,,,,,,,,utakula uhandsome shost,,,,hilo la watoto ni muumba ndo anajua kuna watu wana sura ngumu lakini wanapata totoz zenye mvuto hadi shetani hapendi.

mmmh!! siri ya mtoto anaijua mama bhana!
 
Back
Top Bottom