wachumba zangu wana sura mbaya

wachumba zangu wana sura mbaya

Kuwa na subira utampata mchumba atakayekufaa. Kama sifa fulani ni muhimu kwako bora uheshimu moyo wako maana maisha ya ndoa ni safari ndefu yenye misukosuko. Ni vema kuridhika na mtu wako kabla ya kuoana naye hapo ndipo utakapoweza kuvumilia mapungufu utakayoyagundua baadaye ndani ya ndoa.
nimevumilia mambo ni yale yale kila mwaka
 
sio kwamba sina wa kunioa!yaani kwangu ndoa ipo nje nje
tatizo hawa wachumba wana sura mbaya sio wazuri na mimi nataka mahandsome.nifanyeje?
kila naempata sura matatizo.nikiacha hapa nakoelekea sura ngumu zile zile!

.....mioyo yao je?
 
Njoo Kwangu,m Bonge la Handsome boy la ukweli,ila napenda kulelewa,so km una mkwanja,ntafte!!
 
unawambia wenzio wana suta mbaya wewe unayo nzuri?. ndoa sio sura. mia
 
pesa wanazo ,magari mazuri ,nyumba elimu ila mvuto hawana sura mbaya kweli kweli

wenzio wanajali hayo niliyobold,sura hata mbuzi anayo,,,,,,,,utakula uhandsome shost,,,,hilo la watoto ni muumba ndo anajua kuna watu wana sura ngumu lakini wanapata totoz zenye mvuto hadi shetani hapendi.
 
Mahandsome Wengi,tuna Moyo Wa Kupenda Sana Ila Chambo Ni Pesa,na Kurdhka Tu,coz Hatuna Cfa Ya Kuhonga,ila Kwenye Maujanja Ndo Noumaa
 
wenzio wanajali hayo niliyobold,sura hata mbuzi anayo,,,,,,,,utakula uhandsome shost,,,,hilo la watoto ni muumba ndo anajua kuna watu wana sura ngumu lakini wanapata totoz zenye mvuto hadi shetani hapendi.
umebold wapi?
 
sio kwamba sina wa kunioa!yaani kwangu ndoa ipo nje nje
tatizo hawa wachumba wana sura mbaya sio wazuri na mimi nataka mahandsome.nifanyeje?
kila naempata sura matatizo.nikiacha hapa nakoelekea sura ngumu zile zile!

Nawewe mwenyewe una mtoto aitwaye jery, sasa sijui itakuwaje,mtafute mzazi mwenzako.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom