Wachora ramani za nyumba mna shida gani?

Jamani kuchora ramani ni kazi kubwa.Wachoraji professional lazima aje akione kiwanja kabla ya kuanza kuchora.viwanja hutofautiana landscape nk nyumba yaweza kuwa hata nyumba viwili lakini ramani ikawa bei tofauti kutegemea na kiwanja kalivyo kilipo nk bei zaweza kuwa juu au chini Ramani za kununua au nyingi ambazo ziko bure kwenye internet zaweza sumbua kwenye ujenzi.Mfano unaikuta mlango mkubwa wa kuingilia inaonyesha upande wa magharibi wakati wewe barababara iko upande wa kusini .Ukilibeba hilo ramani shughuli inakuwa pevu kujenga
 
Unahangaika bure,chukua fundi ujenzi akijua yeye ndiyo unampa kazi ya kujenga na hauna ramani atakucholea hata chini na ataijenga,walishajenga nyumba nyingi mafundi kwa hiyo wanazijua ramani nyingi tu na nzuri
Moja kwa Moja bila hata salamu.

Niko kwenye mchakato wa kuanza kujenga ka kibanda hapa downtown kwa Bashite.

Sasa kama mjuavyo lazima uwe na ramani ya unachotaka kujenga. Nikaamua niende instagram kucheki baadhi ya wadau wanaochora ramani.

Nikafanya utafiti wa gharama. Cha ajabu kwenye page hawaweki gharama za kuchora wala gharama roughly za kujenga nyumba.

Nikamtext mmoja kumuuliza gharama ya baadhi ya ramani ambazo amepost (ni zile za kawaida vyumba vitatu) ananiambia 600,000 pomoja na makadirio ya gharama 800,000. Ikumbukwe hii anayo na ameshaichora ni suala la kuiuza.

Nikaamua kusepa. Nikaenda kwa mwingine kasema 700,000/= nikamfuata mwingine kaniambia 550,000.

Swali: Hivi njie jamaa mnafikiri sisi tunaokota hela au hamuwezi hata soma status ya wateja wenu (purchasing Power).

Natambua kazi mnayoifanya ila jaribuni kuregeza bei. Mimi mshahara 250,000 take home. So mnataka nikusanye miezi mitatu bila kula nije kununua ramani kweli.

Nilitegemegea ukiwa na ramani mtu akiitaka unamsukumia hata kwa 50,000 maisha yanaendelea.

Anyway sina maneno mengi sana. Sasa nafikiri napita mtaani nikiona mtu ananyumba nzuri nitaenda kumuomba ramani nyie zenu kaeni nazo.

MREJESHO: Kuna mdau kanipa ramani full 2 (Nichague kama zitanifaa) ambazo yeye alijenga na amekubali kunipigia mihuri kwa 50 then nikafuatilie vibali Halmashauri. Actually ni ramani ziko very clear kuliko hata zile za malofa wa 700k.
 
ramani za nyumba
tambua ramani za nyumba zina chorwa kulingana na jografia ya eneo ambalo mchoraji umesha mpeleka na kuchukua vipimo.sio kila ramani wewe unachukua ili ujenge,ndo maana tuna kosa ufanisi wa majengo,nyumba baazi ya sehemu.
swala la galama.
kuna teknolojia nyingi na njia nyingi ambazo zina tumika kwenye ramani ili kuweza kupunguza galama ya kujengea mfano kama utatumia matofali kidogo,sehemu ambayo hipo kwenye muinuko,udongo ambao sio mzuri kwa majengo.
tambua tu kizuri galama
 
Ramani ya nyumba ya ndoto yako huhitaji kukurupuka na kupewa ramani za wenzako.
Mwisho wa siku utakuta ramani ya nyumba fulani imetapakaa sehemu nyingi.
Ramani ya nyumba/mchoro ni privacy na ili uipende nyumba yako buni aina yako kwanza/sketch.
Tatizo tumezoea 2-4 bedrooms, plus dining, store,kitchen na lounge huku tukisahau external/landscaping ,decorations na modern cheap roofing.
Mfano kuna sehemu utakuta roofing slope ni zaidi ya 50° kama vile wako katika nchi za baridi.
 
Moja kwa Moja bila hata salamu.

Niko kwenye mchakato wa kuanza kujenga ka kibanda hapa downtown kwa Bashite.

Sasa kama mjuavyo lazima uwe na ramani ya unachotaka kujenga. Nikaamua niende instagram kucheki baadhi ya wadau wanaochora ramani.

Nikafanya utafiti wa gharama. Cha ajabu kwenye page hawaweki gharama za kuchora wala gharama roughly za kujenga nyumba.

Nikamtext mmoja kumuuliza gharama ya baadhi ya ramani ambazo amepost (ni zile za kawaida vyumba vitatu) ananiambia 600,000 pomoja na makadirio ya gharama 800,000. Ikumbukwe hii anayo na ameshaichora ni suala la kuiuza.

Nikaamua kusepa. Nikaenda kwa mwingine kasema 700,000/= nikamfuata mwingine kaniambia 550,000.

Swali: Hivi njie jamaa mnafikiri sisi tunaokota hela au hamuwezi hata soma status ya wateja wenu (purchasing Power).

Natambua kazi mnayoifanya ila jaribuni kuregeza bei. Mimi mshahara 250,000 take home. So mnataka nikusanye miezi mitatu bila kula nije kununua ramani kweli.

Nilitegemegea ukiwa na ramani mtu akiitaka unamsukumia hata kwa 50,000 maisha yanaendelea.

Anyway sina maneno mengi sana. Sasa nafikiri napita mtaani nikiona mtu ananyumba nzuri nitaenda kumuomba ramani nyie zenu kaeni nazo.

MREJESHO: Kuna mdau kanipa ramani full 2 (Nichague kama zitanifaa) ambazo yeye alijenga na amekubali kunipigia mihuri kwa 50 then nikafuatilie vibali Halmashauri. Actually ni ramani ziko very clear kuliko hata zile za malofa wa 700k.

Boss njo nikuhudumie, kwa gharama ya ramani kuanzia laki moja(100,000) tuu kulingana na mahitaji yako na kufanya marekebisho kidogo ili kukidhi hitaji husika. Ntahitaji 'details' zako kamili na maelezo ya kiwanja chako.(vipimo na muonekano)

kazi ninayofanya ni
>Kuongeza au kupunguza ukubwa wa nyumba/vyumba bila kuathiri muonekano wa jumla
>kukuchorea 'site plan' kulingana eneo lako
Kwa mawasiliano nicheki kwa whatsapp 0654923538 au call 0686250065
Bei hii haihusishi ramani za ghorofa.
 
Hiyo gharama za kawaida saana uliyopewa,na hawa wachoraji wa instagram wengi ni fresh from collage wanatafuta network.wengine ni watu wa kukopy na kupaste.architect anaeelewa sheria na taratibu za bord,hajitangazi ila Nazi zake ndo zinamtangaza.hao wa barabarani wanaouza ramani wengi na makanjanja tu.ili ufanye designing,kuna vitu Vingi vya kuzingatia.lazima ufike site,lazima ujue ukubwa was kiwanja,lazima ujue north direction,na vitu vingine Vingi kama hivyo.Mimi nachora kwa 600,000/=.na wateja napata,na hizo za barabarani naletewa kuzirekebisha na maisha yanaendelea.kupanga ni kuchagua.
 
Umeongea upumbavu Sana ,Kama Kuna mabosi zako wanajua ID yako lazima watakua na mashaka na wewe ,na Mimi nakataa wewe sio civil engineer ila unaweza ukawa formen tu kwenye site Fulani.
Nani aliyekudanga architect hajui load analysis,Eti naweza kuchora cantilever then ikafeli ,hivi unadhani maarchitect tunachora tu Kama tunabahatisha ?? Au unadhani miaka mitano tunayokomaa hatuelewi chochote kuhusu structure??

Hakuna achitect ambaye hajasoma structure Tena mwaka wa Kwanza Hadi wanne na nitakadesign may slab au cantilever yenye span kubwa bila support ujue nimeshacalculate , engineer unapofeli kwenye construction nitakachofanya ni kukutimu tu site nikiwa Kama bosi wako kwenye ujenzi.

Halafu kingine usidanganye watu eti unaweza kudesign na kuandaa michoro ya architect wakati wewe Ni engineer ,huo ni uongo kujifunza archiCad juu usijidanganye ushakua architect wakati watu wanaumia miaka mitano darasani.

Tupo na mainjinia wakubwa tu ila hawaongeo upupu Kama wako
Yaah ni kweli architecture wanasoma structure ndio maana structural engineer anaweza kuwa aliyesoma architecture au civil engineering japokuwa sio kweli architect ni boss wa civil engineer hii nakataaa mi site zote nilizowahi kufanya kazi hakuna architect yoyote ambae amewahi kuwa boss wangu coz project ni ya client na client ndio boss
 
wewe ndio ufiche upumbavu wako, architect anajua load analysis?? mfano akachora labda tuseme cantilever ila kwenye Load analysis ikaonesha cantilever inaweza kufail je Engineer habadili mchoro? au habadili Jinsi structure inavyotakiwa kuwa? Nenda hata youtube/Google ukaangalie Michoro iliyoandaliwa na Architects then Majengo yaliyojengwa na Engineer.. Architect hajui chochote kuhusu Structure.. Mimi ni Civil Engineer ila najua kuchora Michoro anayochora Architect vizuri sana.. Sema nimesajiliwa na ERB kama Engineer.. Next time ficha Upumbavu wako.. Unafanya kazi mwaka wa 7 na hujui scenario kama hizi?? Hiyo kampuni yako ina shida kuwa na mtu kama wewe!
Architecture structure wanasoma vizuri tu km civil engineering japokuwa sisi civil tunaisoma deep kidogo km wao wanavyokuwa deep kwenye ramani
 
Labda uwawekee kima cha mshahara wako ili wakufikirie. Vifaa vya ujenzi utavimudu ndugu?
 
Unataka kujenga nyumba kimaskinii..??!!

Wewe kama Ramani/Mwongozo unakushinda unategemea utaweza kununua tofali..??!
 
Mkuu, nitakuona
Boss njo nikuhudumie, kwa gharama ya ramani kuanzia laki moja(100,000) tuu kulingana na mahitaji yako na kufanya marekebisho kidogo ili kukidhi hitaji husika. Ntahitaji 'details' zako kamili na maelezo ya kiwanja chako.(vipimo na muonekano)

kazi ninayofanya ni
>Kuongeza au kupunguza ukubwa wa nyumba/vyumba bila kuathiri muonekano wa jumla
>kukuchorea 'site plan' kulingana eneo lako
Kwa mawasiliano nicheki kwa whatsapp 0654923538 au call 0686250065
Bei hii haihusishi ramani za ghorofa.
 
Nyumba ya ndoto yangu ipo kichwani mwangu
Mimi ni business administrator, sio engineer wala sio ukwaju. Huwezi amini nyumba yangu ya kwanza nlichora mwenyewe ramani nlivyotaka mimi. Na nyumba imejengwa.
 
Kuja mzee mwanza anachora ramani na kuzitembeza. Anauza kwa 5000. Kwa siku akiuza mbili maana yake ana 10000. Kwa mwezi 300000. Huyu wa bei ya 800 000 anaweza kaa mwezi asiuze hata 1
 
Mkuu omba bhasi kwa mtu akupee kama huna hela hujalazimishwa[emoji23][emoji23][emoji23] Ulitaka ramani uuziwe 50k kwani ni ramani ya Afrika hiyoo??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom