Wachora ramani za nyumba mna shida gani?

Moja kwa Moja bila hata salamu.

Niko kwenye mchakato wa kuanza kujenga ka kibanda hapa downtown kwa Bashite.

Sasa kama mjuavyo lazima uwe na ramani ya unachotaka kujenga. Nikaamua niende instagram kucheki baadhi ya wadau wanaochora ramani.

Nikafanya utafiti wa gharama. Cha ajabu kwenye page hawaweki gharama za kuchora wala gharama roughly za kujenga nyumba.

Nikamtext mmoja kumuuliza gharama ya baadhi ya ramani ambazo amepost (ni zile za kawaida vyumba vitatu) ananiambia 600,000 pomoja na makadirio ya gharama 800,000. Ikumbukwe hii anayo na ameshaichora ni suala la kuiuza.

Nikaamua kusepa. Nikaenda kwa mwingine kasema 700,000/= nikamfuata mwingine kaniambia 550,000.

Swali: Hivi njie jamaa mnafikiri sisi tunaokota hela au hamuwezi hata soma status ya wateja wenu (purchasing Power).

Natambua kazi mnayoifanya ila jaribuni kuregeza bei. Mimi mshahara 250,000 take home. So mnataka nikusanye miezi mitatu bila kula nije kununua ramani kweli.

Nilitegemegea ukiwa na ramani mtu akiitaka unamsukumia hata kwa 50,000 maisha yanaendelea.

Anyway sina maneno mengi sana. Sasa nafikiri napita mtaani nikiona mtu ananyumba nzuri nitaenda kumuomba ramani nyie zenu kaeni nazo.
mkuu tafuta mafundi mkoani wako njema tu yaani makadirio tu anakufanyia sawa na bure ramani unanunua hata elf20 au unaweza azima hata ya mdau ukatoa photocopy
 
Moja kwa Moja bila hata salamu.

Niko kwenye mchakato wa kuanza kujenga ka kibanda hapa downtown kwa Bashite.

Sasa kama mjuavyo lazima uwe na ramani ya unachotaka kujenga. Nikaamua niende instagram kucheki baadhi ya wadau wanaochora ramani.

Nikafanya utafiti wa gharama. Cha ajabu kwenye page hawaweki gharama za kuchora wala gharama roughly za kujenga nyumba.

Nikamtext mmoja kumuuliza gharama ya baadhi ya ramani ambazo amepost (ni zile za kawaida vyumba vitatu) ananiambia 600,000 pomoja na makadirio ya gharama 800,000. Ikumbukwe hii anayo na ameshaichora ni suala la kuiuza.

Nikaamua kusepa. Nikaenda kwa mwingine kasema 700,000/= nikamfuata mwingine kaniambia 550,000.

Swali: Hivi njie jamaa mnafikiri sisi tunaokota hela au hamuwezi hata soma status ya wateja wenu (purchasing Power).

Natambua kazi mnayoifanya ila jaribuni kuregeza bei. Mimi mshahara 250,000 take home. So mnataka nikusanye miezi mitatu bila kula nije kununua ramani kweli.

Nilitegemegea ukiwa na ramani mtu akiitaka unamsukumia hata kwa 50,000 maisha yanaendelea.

Anyway sina maneno mengi sana. Sasa nafikiri napita mtaani nikiona mtu ananyumba nzuri nitaenda kumuomba ramani nyie zenu kaeni nazo.
Mkuu umejiongeza sana. Tafuta ramani ya nyumba ambayo imejengwa na umwombe ramani kwa kumshika mkono wa kushoto
 
Haya nasubiria hiyo elfu 50 tigo pesa
20190608_133939.jpeg
 
1. Pale karume, wapo wana wanauza ramani mpaka 15,000.. you might as well try that..

2. Lers say umepata ramani kwa 15,000.. hio nyumba utajengewa bure, au kwa staili hii ya kupenda cheap cheap services? Unajenga nyumba worth 60m or more, ila 600,000 ya mchoraji inakupa trouble?

3. Sometimes wachoraji hawapendi kutoa ramani moja kwa watu zaidi ya mmoja, ndo maana ukitaka ramani ana take trouble to design from scratch kulingana na mapendekezo yako.. akikuambia bei ni 600,000 maana yake anachukua muda wake kukuchorea kitu roho inapenda, printing, aigonge mhuri and the like.. sasa nyie mnaopenda kujenga nyumba zinafanana fanana, zile za karume zinakuhusu..
90% Wachoraji hizi nyumba za chini za kawaida ni copy and paste
 
Moja kwa Moja bila hata salamu.

Niko kwenye mchakato wa kuanza kujenga ka kibanda hapa downtown kwa Bashite.

Sasa kama mjuavyo lazima uwe na ramani ya unachotaka kujenga. Nikaamua niende instagram kucheki baadhi ya wadau wanaochora ramani.

Nikafanya utafiti wa gharama. Cha ajabu kwenye page hawaweki gharama za kuchora wala gharama roughly za kujenga nyumba.

Nikamtext mmoja kumuuliza gharama ya baadhi ya ramani ambazo amepost (ni zile za kawaida vyumba vitatu) ananiambia 600,000 pomoja na makadirio ya gharama 800,000. Ikumbukwe hii anayo na ameshaichora ni suala la kuiuza.

Nikaamua kusepa. Nikaenda kwa mwingine kasema 700,000/= nikamfuata mwingine kaniambia 550,000.

Swali: Hivi njie jamaa mnafikiri sisi tunaokota hela au hamuwezi hata soma status ya wateja wenu (purchasing Power).

Natambua kazi mnayoifanya ila jaribuni kuregeza bei. Mimi mshahara 250,000 take home. So mnataka nikusanye miezi mitatu bila kula nije kununua ramani kweli.

Nilitegemegea ukiwa na ramani mtu akiitaka unamsukumia hata kwa 50,000 maisha yanaendelea.

Anyway sina maneno mengi sana. Sasa nafikiri napita mtaani nikiona mtu ananyumba nzuri nitaenda kumuomba ramani nyie zenu kaeni nazo.
Ameisotea class 5 good years... Halafu ww umlipe 50k are you serious. Au unadhani ni kama kukaanga maandazi.
 
Mshenzi mkubwa wewe, yaani unaenda kutafuta Architect instagram? Una akili kweli wewe? Kwanza hiyo laki5 ni pesa ya site visit tu, hapo ulikuwa unatapeliwa. Bogus wewe, na hawaitwi wachora ramani, ni wasanifu majengo (Architects).
 
Hivi Tanzania kuna maelekezo ya Ramani za kujenga? Maana Nyumba zote ni kama zinafanana Baraza mbele imeungana na sebule paa la Blue au Maroon kwisha
 
Moja kwa Moja bila hata salamu.

Niko kwenye mchakato wa kuanza kujenga ka kibanda hapa downtown kwa Bashite.

Sasa kama mjuavyo lazima uwe na ramani ya unachotaka kujenga. Nikaamua niende instagram kucheki baadhi ya wadau wanaochora ramani.

Nikafanya utafiti wa gharama. Cha ajabu kwenye page hawaweki gharama za kuchora wala gharama roughly za kujenga nyumba.

Nikamtext mmoja kumuuliza gharama ya baadhi ya ramani ambazo amepost (ni zile za kawaida vyumba vitatu) ananiambia 600,000 pomoja na makadirio ya gharama 800,000. Ikumbukwe hii anayo na ameshaichora ni suala la kuiuza.

Nikaamua kusepa. Nikaenda kwa mwingine kasema 700,000/= nikamfuata mwingine kaniambia 550,000.

Swali: Hivi njie jamaa mnafikiri sisi tunaokota hela au hamuwezi hata soma status ya wateja wenu (purchasing Power).

Natambua kazi mnayoifanya ila jaribuni kuregeza bei. Mimi mshahara 250,000 take home. So mnataka nikusanye miezi mitatu bila kula nije kununua ramani kweli.

Nilitegemegea ukiwa na ramani mtu akiitaka unamsukumia hata kwa 50,000 maisha yanaendelea.

Anyway sina maneno mengi sana. Sasa nafikiri napita mtaani nikiona mtu ananyumba nzuri nitaenda kumuomba ramani nyie zenu kaeni nazo.
We unataka ya chumba vingapi
 
Ameisotea class 5 good years... Halafu ww umlipe 50k are you serious. Au unadhani ni kama kukaanga maandazi.
Eti 5 years, that is bullshit! Soko halijafikia hku ndugu zangu, hacheni tamaa na kujiona special! Huwezi pata hiyo pesa kutoka kwa local client
 
Mshenzi mkubwa wewe, yaani unaenda kutafuta Architect instagram? Una akili kweli wewe? Kwanza hiyo laki5 ni pesa ya site visit tu, hapo ulikuwa unatapeliwa. Bogus wewe, na hawaitwi wachora ramani, ni wasanifu majengo (Architects).
Bogus Mama ako. Mimi nazungumzia wachora ramani architect umeleta wewe. Mimi sihitaji architects yeyote anayejua kuchora ramani. Usijifanye unajua kumbe lofa tu.
 
Tafuta mafundi wasiosoma degree wana ramani nying tu ambazo wameshajenga watakupa kwa bei chee mimi nililetewa nyingi tu nikachagua moja efu 50 tu
 
Eti 5 years, that is bullshit! Soko halijafikia hku ndugu zangu, hacheni tamaa na kujiona special! Huwezi pata hiyo pesa kutoka kwa local client
Yani hawa jamaa malofa kweli wanafikiri wao tu ndo wameenda shule. Ukija kucheck ramani zenyewe wanadownload wanaacha kuedit. Ukiwaambia wasanifu nyumba ya ghorofa 4 wanaanza kutetemeka.
 
Hivi nyie watu mnawazimu eeh? Seriously mtu akae chini anaumizwa kichwa ana design nyumba ya milioni 100 na kuendelea halafu uje umpe 350,000/=, you are insane.
Wewe pia kiazi sio kila anayejenga anajenga nyumba ya mil 100 wengine akiwa na 10m anataka aanze mdogo mdogo. Mbona mnakuwa vichwa panzi sana
 
Nyumba ya chini mkuu ramani inaweza isiwe ishu sana. Tafuta fundi mzuri kisha mwambie unataka nyumba yako iweje.
Yeye atakuletea ramani..
Mkazo hapa.. fundi mzuri sio wa kuokota.
 
Back
Top Bottom