Mimi ni msanii mkuu. Mimi nataka ramani hizo habari za Manispaa sizielewi na sifanyagi kabisa.
Mkuu, mbona umefunga PM? Nichek inbox unitumie email nikufowadie...Nicheck tuzungumze. Usijali mkuu
Mkuu. Kote huko natoa rushwa na tozo za ovyo.Waulize hizo gharama zinahusisha na mihuri toka kwa Architectural firms ambazo ziko registered na AQRB..? Kama jibu ni ndio basi price uliopewa ndo ya mtaani hiyo.. Ukumbuke kujenga siku hizi unatakiwa uwe na kibali toka Manispaa.. Na ili upate kibali toka Manispaa unatakiwa uwe na michoro iliyopitishwa na Manispaa.. Na ili Manispaa wapitishe michoro, wanahitaji michoro yenye mihuri ya firms ambazo mchoro umechorwa huko..
Boss laki 6 wengine tunaipata kwa miezi miwili hapo hujala wala kupata hata kabia kamoja. Sasa tutajenga kweli?Ndo unatakiwa uelewe sasa Mkuu.. Utalipia hiyo laki 3, kisha utakuja kukwamisha pindi pale unapotaka kujenga.. Hata kama ni uswahilini, ujue bado kuna vikanuni utabanwa navyo.. Ni vizuri ukapata details zote kabla ya kuanza na ramani, ili usije kukwamishwa baadae..
600,000 ramani? Aisee sio mimi mkuu. Never sifanyi huo ulofa
Kuna shida gani nyumba zikifanana? mimi nataka sehemu ya kuegesha ubavu full stop. Nasema tena 600,000 hata aje bwana Lukuvi sitoi1. Pale karume, wapo wana wanauza ramani mpaka 15,000.. you might as well try that..
2. Lers say umepata ramani kwa 15,000.. hio nyumba utajengewa bure, au kwa staili hii ya kupenda cheap cheap services? Unajenga nyumba worth 60m or more, ila 600,000 ya mchoraji inakupa trouble?
3. Sometimes wachoraji hawapendi kutoa ramani moja kwa watu zaidi ya mmoja, ndo maana ukitaka ramani ana take trouble to design from scratch kulingana na mapendekezo yako.. akikuambia bei ni 600,000 maana yake anachukua muda wake kukuchorea kitu roho inapenda, printing, aigonge mhuri and the like.. sasa nyie mnaopenda kujenga nyumba zinafanana fanana, zile za karume zinakuhusu..
Mkuu. Kote huko natoa rushwa na tozo za ovyo.
Narudia tena. Hamnipati. Navunja pagale langu najenga kama vile nakarabati. Au na ukarabati unahitaji kibali na michoro?
Mkuu usipate shida sana ingia maisha ni Nyumba kila kitu utapata hapo. Google.Moja kwa Moja bila hata salamu.
Niko kwenye mchakato wa kuanza kujenga ka kibanda hapa downtown kwa Bashite. Sasa kama mjuavyo lazima uwe na ramani ya unachotaka kujenga. Nikaamua niende instagram kucheki baadhi ya wadau wanaochora ramani. Nikafanya utafiti wa gharama. Cha ajabu kwenye page hawaweki gharama za kuchora wala gharama roughly za kujenga nyumba. Nikamtext mmoja kumuuliza gharama ya baadhi ya ramani ambazo amepost (ni zile za kawaida vyumba vitatu) ananiambia 600,000 pomoja na makadirio ya gharama 800,000. Ikumbukwe hii anayo na ameshaichora ni suala la kuiuza. Nikaamua kusepa. Nikaenda kwa mwingine kasema 700,000/= nikamfuata mwingine kaniambia 550,000. Swali: Hivi njie jamaa mnafikiri sisi tunaokota hela au hamuwezi hata soma status ya wateja wenu (purchasing Power). Natambua kazi mnayoifanya ila jaribuni kuregeza bei. Mimi mshahara 250,000 take home. So mnataka nikusanye miezi mitatu bila kula nije kununua ramani kweli. Nilitegemegea ukiwa na ramani mtu akiitaka unamsukumia hata kwa 50,000 maisha yanaendelea.
Anyway sina maneno mengi sana. Sasa nafikiri napita mtaani nikiona mtu ananyumba nzuri nitaenda kumuomba ramani nyie zenu kaeni nazo.
Mkuu umenikumbusha kuna gari zilikuwa zinaitwa zafanana1. Pale karume, wapo wana wanauza ramani mpaka 15,000.. you might as well try that..
2. Lers say umepata ramani kwa 15,000.. hio nyumba utajengewa bure, au kwa staili hii ya kupenda cheap cheap services? Unajenga nyumba worth 60m or more, ila 600,000 ya mchoraji inakupa trouble?
3. Sometimes wachoraji hawapendi kutoa ramani moja kwa watu zaidi ya mmoja, ndo maana ukitaka ramani ana take trouble to design from scratch kulingana na mapendekezo yako.. akikuambia bei ni 600,000 maana yake anachukua muda wake kukuchorea kitu roho inapenda, printing, aigonge mhuri and the like.. sasa nyie mnaopenda kujenga nyumba zinafanana fanana, zile za karume zinakuhusu..
Acha tu mkuu. Mwenyewe nilitaka nipandishe hata pagale hela nisije pigia bia ila hawa jamaa wanazingua sana.Hii ndio bongo dsm.
Mtu akisikia unajenga anajua una hela, ni kama umwambie unatafuta gari ununue.
Hana hata muda wa kupeleleza aina ya maisha ya mteja wake. Nyumba inajengwa kwa awamu tano 1,ununuzi wa kiwanja. 2,ufyatuaji wa tofali. 3,ujenzi msingi mpaka rinta. 4,uezekaji.5,finishing.[emoji16][emoji16][emoji16]Ila jamaa ukimwabia unahitaji ramani anataka akupambanishe na engineers[emoji23][emoji23].
Yale yale ya nssf na nyumba za 2rooms kwa mill 30.
Huenda kuna malofa huwa wanalipa 500,000 wanajua wote tumezamia townMimi ramani ambayo naweza nikanunua labda mtu aichore mbele ya macho yangu!! Sasa kama huyo alishachora amejuaje ukubwa wa kiwanja na mazingira ya eneo husika.....Utapelie mtupu! Unatoa pesa mwenzio anaingia mtandaoni.....anadowload kwa Buku unampa 500000/=