Wachora ramani za nyumba mna shida gani?

Wachora ramani za nyumba mna shida gani?

Na sidhan kama kuna hasara ya kuuza mchoro kwa laki au elfu 50.

Mraji wake ni peni.. Rula na karatasi.

Wawe serious na pesa...
Hii ramani tunatumiaga kwa reason ndogo saana ila kwa nchi yetu ramani sio kitu cha msingi saaana.

Unaweza ukaingia nyumba ya mtu ukachora rough na nyumba ikasimama...

Baada ya hapo unafoj foj vitu vingine na maisha yanasonga...

Kukaza kaza kwenye vitu vdogo kama hvyo eti kisa ulitoa ada wakati unasoma.. Utakufa maskini mchora ramani.
 
1121761

Haya ujenzi mwema Mkuu,kaprint hiyo
 
Ukifika kwenye finishing pia uje kulalamika humu, mlango wa mti wa kawaida kabisa unapata kwa 350k,mninga 450k na kuendelea, dirisha moja la aluminium sqm. Ni 100k,kitasa kimoja cha kawaida tu mi 100k.ukawalalamikie pia na wanaouza hvo vtu, uwaambie kuwa mm mshahara ni laki 2 na 50 kwa mwezi.
 
Wewe pia kiazi sio kila anayejenga anajenga nyumba ya mil 100 wengine akiwa na 10m anataka aanze mdogo mdogo. Mbona mnakuwa vichwa panzi sana
Wewe ni mhalifu, kanuni zinahitaji kazi za usanifu zifanywe na watu waliosajiliwa, sasa kama umeamua kufanya kienyeji ni juu yako, ila usije humu kudhalilisha taaluma za watu kisa umeambiwa ulipe laki 5, hiyo inaleta taswira hasi juu ya taaluma husika, ukome!
 
Ushauri tu, Wakuu tusipende slope sana, tafuta mtaalamu ongea nae vizuri Kama ana Bei kubwa atakupunguzia kuliko kwenda kwa watu wa mtaani ukapewa kitu ambacho hutakaa uwe proud nacho, na sometimes hutakuwa comfortable na baadhi ya mipangilio ya vyumba!!
 
Ukifika kwenye finishing pia uje kulalamika humu, mlango wa mti wa kawaida kabisa unapata kwa 350k,mninga 450k na kuendelea, dirisha moja la aluminium sqm. Ni 100k,kitasa kimoja cha kawaida tu mi 100k.ukawalalamikie pia na wanaouza hvo vtu, uwaambie kuwa mm mshahara ni laki 2 na 50 kwa mwezi.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wewe ni mhalifu, kanuni zinahitaji kazi za usanifu zifanywe na watu waliosajiliwa, sasa kama umeamua kufanya kienyeji ni juu yako, ila usije humu kudhalilisha taaluma za watu kisa umeambiwa ulipe laki 5, hiyo inaleta taswira hasi juu ya taaluma husika, ukome!

Naomba kujua masharti ya kutaka kujenga nyumba ,mi nilikuwa najua napeleka mafundi site ramani najichukulia mtandaon kwisha habariii
 
Wewe ni mhalifu, kanuni zinahitaji kazi za usanifu zifanywe na watu waliosajiliwa, sasa kama umeamua kufanya kienyeji ni juu yako, ila usije humu kudhalilisha taaluma za watu kisa umeambiwa ulipe laki 5, hiyo inaleta taswira hasi juu ya taaluma husika, ukome!
Na acha iwe taswira mbovu. Kama wanashindwa kujiongeza wacha wawe tu.
 
Na sidhan kama kuna hasara ya kuuza mchoro kwa laki au elfu 50.

Mraji wake ni peni.. Rula na karatasi.

Wawe serious na pesa...
Hii ramani tunatumiaga kwa reason ndogo saana ila kwa nchi yetu ramani sio kitu cha msingi saaana.

Unaweza ukaingia nyumba ya mtu ukachora rough na nyumba ikasimama...

Baada ya hapo unafoj foj vitu vingine na maisha yanasonga...

Kukaza kaza kwenye vitu vdogo kama hvyo eti kisa ulitoa ada wakati unasoma.. Utakufa maskini mchora ramani.
Hawa jamaa ada zao zinawauma sana wacha waendele kuleta maneno. Nyumba ya kawaida wanaleta bei as if wanatataka ku-invent bomu la nuclear.
 
Hawa jamaa ada zao zinawauma sana wacha waendele kuleta maneno. Nyumba ya kawaida wanaleta bei as if wanatataka ku-invent bomu la nuclear.

Mi mwenzako nina kiwanja ningeenda kujijengea tu 😂😂 nikajashangaa napigwa faini sijui bomolewa acha tu
Sipati picha usimamizi wa mafundi utakavyowakalia kooni
 
Moja kwa Moja bila hata salamu.

Niko kwenye mchakato wa kuanza kujenga ka kibanda hapa downtown kwa Bashite.

Sasa kama mjuavyo lazima uwe na ramani ya unachotaka kujenga. Nikaamua niende instagram kucheki baadhi ya wadau wanaochora ramani.

Nikafanya utafiti wa gharama. Cha ajabu kwenye page hawaweki gharama za kuchora wala gharama roughly za kujenga nyumba.

Nikamtext mmoja kumuuliza gharama ya baadhi ya ramani ambazo amepost (ni zile za kawaida vyumba vitatu) ananiambia 600,000 pomoja na makadirio ya gharama 800,000. Ikumbukwe hii anayo na ameshaichora ni suala la kuiuza.

Nikaamua kusepa. Nikaenda kwa mwingine kasema 700,000/= nikamfuata mwingine kaniambia 550,000.

Swali: Hivi njie jamaa mnafikiri sisi tunaokota hela au hamuwezi hata soma status ya wateja wenu (purchasing Power).

Natambua kazi mnayoifanya ila jaribuni kuregeza bei. Mimi mshahara 250,000 take home. So mnataka nikusanye miezi mitatu bila kula nije kununua ramani kweli.

Nilitegemegea ukiwa na ramani mtu akiitaka unamsukumia hata kwa 50,000 maisha yanaendelea.

Anyway sina maneno mengi sana. Sasa nafikiri napita mtaani nikiona mtu ananyumba nzuri nitaenda kumuomba ramani nyie zenu kaeni nazo.

MREJESHO: Kuna mdau kanipa ramani full 2 (Nichague kama zitanifaa) ambazo yeye alijenga na amekubali kunipigia mihuri kwa 50 then nikafuatilie vibali Halmashauri. Actually ni ramani ziko very clear kuliko hata zile za malofa wa 700k.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka
 
Mi mwenzako nina kiwanja ningeenda kujijengea tu 😂😂 nikajashangaa napigwa faini sijui bomolewa acha tu
Sipati picha usimamizi wa mafundi utakavyowakalia kooni
Nafikiri kuna procedure kadhaa lazima ufuate kabla ya kujenga, ramani, mihuri plus kibali cha ujenzi. Ila kibali kwangu si mhimu sana mana huko ndio kunawapigaji kuliko hawa mburulazi wa ramani. Mafundi acha kabisa. Kila senti itahesabiwa fundi nitawazibiti vilivo.
 
Back
Top Bottom