Wachora ramani za nyumba mna shida gani?

Wachora ramani za nyumba mna shida gani?

Acha tu mkuu. Mwenyewe nilitaka nipandishe hata pagale hela nisije pigia bia ila hawa jamaa wanazingua sana.
[emoji16][emoji16]Tunarusishana nyuma wenyewe kwa wenyewe jamani[emoji25][emoji25]
 
Mkuu ukinipa 280K unapata Ramanu nzuri yenye Criteria zako zote!
 
Nicheki kwa 0657849984 naamini tutaenda sawa.
Mimi Ni Architect pia nitakushauri.
 
Halafu architect anafanya Nini mkuu
Architect ana kazi yake japo wengi wamebase kwamba kazi yake ni kuchora ramani.. ila architect yeye anadesign Jengo lionekane vipi.. ila muundo wote wa jengo jinsi linavyokaa ni kazi ya Engineer.. na Engineer anafanya marekebisho kwenye Ramani ya Architect.. na Shule lazima ufundishwe namna ya Kuchora ramani!
 
Hahahah mkuu taratibu. Hapo engineer taarabu mzee. Hii maana yake mshahara wangu wote nikukabidhi mwezi huu. Msione tuko JF wngine sisi kapuku tu
Okay Mkuu.. tunaweza kuzungumza.. Ramani ya Nyumba ya Kuishi na Ramani ambayo si ya kuumiza kichwa.. Kuichora inachukua muda Mfupi sana.. na haihitaji Load analyis kiivo
 
Waulize hizo gharama zinahusisha na mihuri toka kwa Architectural firms ambazo ziko registered na AQRB..? Kama jibu ni ndio basi price uliopewa ndo ya mtaani hiyo.. Ukumbuke kujenga siku hizi unatakiwa uwe na kibali toka Manispaa.. Na ili upate kibali toka Manispaa unatakiwa uwe na michoro iliyopitishwa na Manispaa.. Na ili Manispaa wapitishe michoro, wanahitaji michoro yenye mihuri ya firms ambazo mchoro umechorwa huko..
Mkuu nina mpango wa kujenga Banda la ngombe kwa matofali je nahitaji kibali ??
 
Architect ana kazi yake japo wengi wamebase kwamba kazi yake ni kuchora ramani.. ila architect yeye anadesign Jengo lionekane vipi.. ila muundo wote wa jengo jinsi linavyokaa ni kazi ya Engineer.. na Engineer anafanya marekebisho kwenye Ramani ya Architect.. na Shule lazima ufundishwe namna ya Kuchora ramani!
Ficha upumbavu wako wewe,acha kujidhalilisha ,mimi Ni architect Registered nafanya hizi kazi mwaka wa 7 huu.nani alikudanganya Engineer anaweza hata kugusa mchoro wa architect.eti muundo wote wa jengo ni kazi ya engineer ,Yani huelewi kazi ya engineer kwenye ujenzi ngoja nikusaidie kukupa shule kidogo
Architect ndio team leader kwenye ujenzi yeye ndio anadesign na anaandaa michoro yote ya jengo (architectural drawings) than kazi ya engineer Ni kudesign structure bila kuathiri design ya architect hata kidogo..

Architect anaweza kukataa michoro ya engineer Kama inaathiri design ya jengo lakini engineer hawezi kubadili design yamchoro wa architect hata kidogo
 
wewe ndio ufiche upumbavu wako, architect anajua load analysis?? mfano akachora labda tuseme cantilever ila kwenye Load analysis ikaonesha cantilever inaweza kufail je Engineer habadili mchoro? au habadili Jinsi structure inavyotakiwa kuwa? Nenda hata youtube/Google ukaangalie Michoro iliyoandaliwa na Architects then Majengo yaliyojengwa na Engineer.. Architect hajui chochote kuhusu Structure.. Mimi ni Civil Engineer ila najua kuchora Michoro anayochora Architect vizuri sana.. Sema nimesajiliwa na ERB kama Engineer.. Next time ficha Upumbavu wako.. Unafanya kazi mwaka wa 7 na hujui scenario kama hizi?? Hiyo kampuni yako ina shida kuwa na mtu kama wewe!
 
Moja kwa Moja bila hata salamu.

Niko kwenye mchakato wa kuanza kujenga ka kibanda hapa downtown kwa Bashite.

Sasa kama mjuavyo lazima uwe na ramani ya unachotaka kujenga. Nikaamua niende instagram kucheki baadhi ya wadau wanaochora ramani.

Nikafanya utafiti wa gharama. Cha ajabu kwenye page hawaweki gharama za kuchora wala gharama roughly za kujenga nyumba.

Nikamtext mmoja kumuuliza gharama ya baadhi ya ramani ambazo amepost (ni zile za kawaida vyumba vitatu) ananiambia 600,000 pomoja na makadirio ya gharama 800,000. Ikumbukwe hii anayo na ameshaichora ni suala la kuiuza.

Nikaamua kusepa. Nikaenda kwa mwingine kasema 700,000/= nikamfuata mwingine kaniambia 550,000.

Swali: Hivi njie jamaa mnafikiri sisi tunaokota hela au hamuwezi hata soma status ya wateja wenu (purchasing Power).

Natambua kazi mnayoifanya ila jaribuni kuregeza bei. Mimi mshahara 250,000 take home. So mnataka nikusanye miezi mitatu bila kula nije kununua ramani kweli.

Nilitegemegea ukiwa na ramani mtu akiitaka unamsukumia hata kwa 50,000 maisha yanaendelea.

Anyway sina maneno mengi sana. Sasa nafikiri napita mtaani nikiona mtu ananyumba nzuri nitaenda kumuomba ramani nyie zenu kaeni nazo.
Mkuu kuna dogo langu lipo Ardhi University school of Architecture anamaliza mwakani anaweza akakupigia kazi yako safi kwa 80,000

Ameshafanya kazi nyingi tu za watu na makampuni mbalimbali

Kama ukihitaji nicheki nikukonect nae
 
Nitumie sample hata moja PM nijilidhishe
 
wewe ndio ufiche upumbavu wako, architect anajua load analysis?? mfano akachora labda tuseme cantilever ila kwenye Load analysis ikaonesha cantilever inaweza kufail je Engineer habadili mchoro? au habadili Jinsi structure inavyotakiwa kuwa? Nenda hata youtube/Google ukaangalie Michoro iliyoandaliwa na Architects then Majengo yaliyojengwa na Engineer.. Architect hajui chochote kuhusu Structure.. Mimi ni Civil Engineer ila najua kuchora Michoro anayochora Architect vizuri sana.. Sema nimesajiliwa na ERB kama Engineer.. Next time ficha Upumbavu wako.. Unafanya kazi mwaka wa 7 na hujui scenario kama hizi?? Hiyo kampuni yako ina shida kuwa na mtu kama wewe!
Umeongea upumbavu Sana ,Kama Kuna mabosi zako wanajua ID yako lazima watakua na mashaka na wewe ,na Mimi nakataa wewe sio civil engineer ila unaweza ukawa formen tu kwenye site Fulani.
Nani aliyekudanga architect hajui load analysis,Eti naweza kuchora cantilever then ikafeli ,hivi unadhani maarchitect tunachora tu Kama tunabahatisha ?? Au unadhani miaka mitano tunayokomaa hatuelewi chochote kuhusu structure??

Hakuna achitect ambaye hajasoma structure Tena mwaka wa Kwanza Hadi wanne na nitakadesign may slab au cantilever yenye span kubwa bila support ujue nimeshacalculate , engineer unapofeli kwenye construction nitakachofanya ni kukutimu tu site nikiwa Kama bosi wako kwenye ujenzi.

Halafu kingine usidanganye watu eti unaweza kudesign na kuandaa michoro ya architect wakati wewe Ni engineer ,huo ni uongo kujifunza archiCad juu usijidanganye ushakua architect wakati watu wanaumia miaka mitano darasani.

Tupo na mainjinia wakubwa tu ila hawaongeo upupu Kama wako
 
Back
Top Bottom