Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,791
PM yako haipokei text mkuu, nimejaribu imeshindikana labda ww unitumie email yako PM nimpe ili akutumieNitumie sample hata moja PM nijilidhishe
PM yako haipokei text mkuu, nimejaribu imeshindikana labda ww unitumie email yako PM nimpe ili akutumieNitumie sample hata moja PM nijilidhishe
Tuanziee Hapa mzee.. Nadhani ni Mwaka wa kwanza.. Kuna somo linaitwa Statics Architects wanasoma hili? Dynamics architects wanasoma? Mwaka wa Pili kuna Determinate/Indeterminate Structures Architects wanasoma? Mwaka wa Tatu kuna RC design Architects wanasoma?Nani aliyekudanga architect hajui load analysis,Eti naweza kuchora cantilever then ikafeli ,hivi unadhani maarchitect tunachora tu Kama tunabahatisha ?? Au unadhani miaka mitano tunayokomaa hatuelewi chochote kuhusu structure??
600,000 ramani? Aisee sio mimi mkuu. Never sifanyi huo ulofa
Ngoja nikuulize swali dogo SanaTuanziee Hapa mzee.. Nadhani ni Mwaka wa kwanza.. Kuna somo linaitwa Statics Architects wanasoma hili? Dynamics architects wanasoma? Mwaka wa Pili kuna Determinate/Indeterminate Structures Architects wanasoma? Mwaka wa Tatu kuna RC design Architects wanasoma?
na kama hawasomi hizo Load analysis wanazijua vipi? we Jamaa unachekesha!
kituo cha karume pale pale, upande wa kushoto kama unatokea ilala boma, wamemwaga chini unachagua uitakayoKarume sehemu gani mkuu?
Ile ni taaluma, watu wamesomea kama mshahara mdogo endelea kuishi kwa mama mwenye nyumbaMoja kwa Moja bila hata salamu.
Niko kwenye mchakato wa kuanza kujenga ka kibanda hapa downtown kwa Bashite.
Sasa kama mjuavyo lazima uwe na ramani ya unachotaka kujenga. Nikaamua niende instagram kucheki baadhi ya wadau wanaochora ramani.
Nikafanya utafiti wa gharama. Cha ajabu kwenye page hawaweki gharama za kuchora wala gharama roughly za kujenga nyumba.
Nikamtext mmoja kumuuliza gharama ya baadhi ya ramani ambazo amepost (ni zile za kawaida vyumba vitatu) ananiambia 600,000 pomoja na makadirio ya gharama 800,000. Ikumbukwe hii anayo na ameshaichora ni suala la kuiuza.
Nikaamua kusepa. Nikaenda kwa mwingine kasema 700,000/= nikamfuata mwingine kaniambia 550,000.
Swali: Hivi njie jamaa mnafikiri sisi tunaokota hela au hamuwezi hata soma status ya wateja wenu (purchasing Power).
Natambua kazi mnayoifanya ila jaribuni kuregeza bei. Mimi mshahara 250,000 take home. So mnataka nikusanye miezi mitatu bila kula nije kununua ramani kweli.
Nilitegemegea ukiwa na ramani mtu akiitaka unamsukumia hata kwa 50,000 maisha yanaendelea.
Anyway sina maneno mengi sana. Sasa nafikiri napita mtaani nikiona mtu ananyumba nzuri nitaenda kumuomba ramani nyie zenu kaeni nazo.
Mkuu nina mpango wa kujenga Banda la ngombe kwa matofali je nahitaji kibali ??
AtlasiMkuu omba bhasi kwa mtu akupee kama huna hela hujalazimishwa[emoji23][emoji23][emoji23] Ulitaka ramani uuziwe 50k kwani ni ramani ya Afrika hiyoo??
KweliMkuu sasa si ndo tuchekiane Inbox tumalize kabisa.
Ulimchangia ada ya Shule? kutokuwa na Hela ww kwanini iwe tabu kwenye fani za watu kwani lazima kujenga kwa kuchora Ramani kama huna hela inatakiwa ramani uwe mwenyewe site fundi ajenge kutokana na maelezo yakoMoja kwa Moja bila hata salamu.
Niko kwenye mchakato wa kuanza kujenga ka kibanda hapa downtown kwa Bashite.
Sasa kama mjuavyo lazima uwe na ramani ya unachotaka kujenga. Nikaamua niende instagram kucheki baadhi ya wadau wanaochora ramani.
Nikafanya utafiti wa gharama. Cha ajabu kwenye page hawaweki gharama za kuchora wala gharama roughly za kujenga nyumba.
Nikamtext mmoja kumuuliza gharama ya baadhi ya ramani ambazo amepost (ni zile za kawaida vyumba vitatu) ananiambia 600,000 pomoja na makadirio ya gharama 800,000. Ikumbukwe hii anayo na ameshaichora ni suala la kuiuza.
Nikaamua kusepa. Nikaenda kwa mwingine kasema 700,000/= nikamfuata mwingine kaniambia 550,000.
Swali: Hivi njie jamaa mnafikiri sisi tunaokota hela au hamuwezi hata soma status ya wateja wenu (purchasing Power).
Natambua kazi mnayoifanya ila jaribuni kuregeza bei. Mimi mshahara 250,000 take home. So mnataka nikusanye miezi mitatu bila kula nije kununua ramani kweli.
Nilitegemegea ukiwa na ramani mtu akiitaka unamsukumia hata kwa 50,000 maisha yanaendelea.
Anyway sina maneno mengi sana. Sasa nafikiri napita mtaani nikiona mtu ananyumba nzuri nitaenda kumuomba ramani nyie zenu kaeni nazo.
Huyo jamaa architect ameniacha hoi Sasa kama structural analysis anafanya,kwa nini structural drawings wapewe wengine architect asimalize? Anazingua huyo jamaa michoro yote ikiwemo ya architects au structural inaweza badilika kulingana na nature ya site ndio maana kuna site instructions,management site meetings etcTuanziee Hapa mzee.. Nadhani ni Mwaka wa kwanza.. Kuna somo linaitwa Statics Architects wanasoma hili? Dynamics architects wanasoma? Mwaka wa Pili kuna Determinate/Indeterminate Structures Architects wanasoma? Mwaka wa Tatu kuna RC design Architects wanasoma?
na kama hawasomi hizo Load analysis wanazijua vipi? we Jamaa unachekesha!
Ndo mentality mlionayo. Things doesn't work that way. Kuweni flexible to respond to labour market demand. Sasa kama wewe ulisoma uliambiwa mshahara mil 3 kwa mwezi ila uhalisia ni 1m. Nenda kafanye tu ndio nguvu ya soko hio.Ulimchangia ada ya Shule? kutokuwa na Hela ww kwanini iwe tabu kwenye fani za watu kwani lazima kujenga kwa kuchora Ramani kama huna hela inatakiwa ramani uwe mwenyewe site fundi ajenge kutokana na maelezo yako
Ndo mana nasema jamaa hawatumii akili. Kwa mtaalamu siku moja unaweza chora ramani ikaisha halafu unataka 600k unaishia kupata 0Watu wana tamaa aise, eti field ya watu mbona wengine tuko kweny field za kutumia akili balaa but no easy money! Kazi ya 1million ni umeenyeka nayo almost 1 week..na unaimaliza akili imechoka balaa, kuchora ramani kazi ya masaa matatu au chini ya hapo upewe laki 6 hahaha..