Wachora ramani za nyumba mna shida gani?

Wachora ramani za nyumba mna shida gani?

Ngoja nikuulize swali dogo Sana
Unajua ni kwanini leo nikiamua kwenda kusomea masters ya civil engineer ninaqualify Moja kwa moja na bachelor yangu ya architecture ,lakini wewe mwenye bachelor ya civil engineer huruhusiwi hata kidogo kwenda kuchukua masters ya architecture duniani kote hata ungekua na GPA ya Tano.
Pili kwanini architect ndio kiongozi kwenye ujenzi na sio Engineer Wala Qs

Ukijibu hayo tunaweza kwenda sawa
Wewe ni msanifu wa jengo na client ameridhika liwe hivyo,fani zingine zinaingia kusaidia kuzalisha kitu kama hicho ulichokisanifu ila haina maana kwamba miundo msingi haiwezi kubadilishwa kidogo ili kufikia standard unayotaka
 
Moja kwa Moja bila hata salamu.

Niko kwenye mchakato wa kuanza kujenga ka kibanda hapa downtown kwa Bashite.

Sasa kama mjuavyo lazima uwe na ramani ya unachotaka kujenga. Nikaamua niende instagram kucheki baadhi ya wadau wanaochora ramani.

Nikafanya utafiti wa gharama. Cha ajabu kwenye page hawaweki gharama za kuchora wala gharama roughly za kujenga nyumba.

Nikamtext mmoja kumuuliza gharama ya baadhi ya ramani ambazo amepost (ni zile za kawaida vyumba vitatu) ananiambia 600,000 pomoja na makadirio ya gharama 800,000. Ikumbukwe hii anayo na ameshaichora ni suala la kuiuza.

Nikaamua kusepa. Nikaenda kwa mwingine kasema 700,000/= nikamfuata mwingine kaniambia 550,000.

Swali: Hivi njie jamaa mnafikiri sisi tunaokota hela au hamuwezi hata soma status ya wateja wenu (purchasing Power).

Natambua kazi mnayoifanya ila jaribuni kuregeza bei. Mimi mshahara 250,000 take home. So mnataka nikusanye miezi mitatu bila kula nije kununua ramani kweli.

Nilitegemegea ukiwa na ramani mtu akiitaka unamsukumia hata kwa 50,000 maisha yanaendelea.

Anyway sina maneno mengi sana. Sasa nafikiri napita mtaani nikiona mtu ananyumba nzuri nitaenda kumuomba ramani nyie zenu kaeni nazo.
Mkuu usipate shida nenda pale kariakoo mtaa wa livingstone utazikuta nyingi tu wamemwaga wanauza tsh 10000.
 
Wewe ni msanifu wa jengo na client ameridhika liwe hivyo,fani zingine zinaingia kusaidia kuzalisha kitu kama hicho ulichokisanifu ila haina maana kwamba miundo msingi haiwezi kubadilishwa kidogo ili kufikia standard unayotaka
Umeongea vizuri KUDOS!!
Sasa jamaa alidai engineer ndio atengemezea muundo wa jengo ,cjui anaweza kurekebisha michoro ya architect kitu ambacho hakipo.
Kama eng.ataona Kuna tatizo kwenye design inayoaffect structure atamshirikisha architect ambaye ndio ataona Nini Cha kufanya na sio eng arekebishe architectural drawings yeye.
 
Ni viherehere vyenu tu kujifanya wa kisasa. Mzeevwangu kajenga nyumba nying na sikuwai muona kanunua au kacholewa ramani popote. Raman ukikaa vizuri unatngeneza mwenyewe.
Labda yeye alisomea haya masuala
 
Mimi ni msanii mkuu. Mimi nataka ramani hizo habari za Manispaa sizielewi na sifanyagi kabisa.

Achana na uzungu wa ramani kama hali ya pesa bado haipo vizuri sana, ita fundi mwambie nataka vyumba hapa vitakaaje? atakupa majibu.

NB: USIPENDE KULALAMIKA LALAMIKA NA KUONYESHA ULIMWENGU KUWA UNA NJAA, UNGEULIZA TU KAMA UNAWEZA PATA MTU WA KUKUCHOREA RAMANI KWA 100,000 AU CHINI, UNGEPEWA MAJIBU MAZURI TU.
 
Hizo ni fani za watu na wanasomea miaka mitano mkuu. Kama hutaki chora mwenyewe.
Mleta mada achana na wenye mawazo ya kifisadi kama huyu, kwangu utapata kwa 100000 tu na pengine mtaani hata kwa hiyo 50k ukapata. Laki 8 ramani wakati hiyo ni gharama ya chumba kabisa!! Ukitaka kujenga nyumba hakikisha unaepuka gharama zisizo za lazima na hivyo minimize gharama to the lowest. Nakupongeza kwa kushtuka mapema.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukute ashapigwaa pesaa
 
Hahaha
Naelewa na nime-appreciate kuwa hii ni fani ila kama msomi unashindwa hata kusoma mazingira ya biashara basi hio miaka mitano ungelima hata bange ingekulipa
 
Mleta mada achana na wenye mawazo ya kifisadi kama huyu, kwangu utapata kwa 100000 tu na pengine mtaani hata kwa hiyo 50k ukapata. Laki 8 ramani wakati hiyo ni gharama ya chumba kabisa!! Ukitaka kujenga nyumba hakikisha unaepuka gharama zisizo za lazima na hivyo minimize gharama to the lowest. Nakupongeza kwa kushtuka mapema.
Thanks mkuu kwa angalizo
 
Ngoja nikuulize swali dogo Sana
Unajua ni kwanini leo nikiamua kwenda kusomea masters ya civil engineer ninaqualify Moja kwa moja na bachelor yangu ya architecture ,lakini wewe mwenye bachelor ya civil engineer huruhusiwi hata kidogo kwenda kuchukua masters ya architecture duniani kote hata ungekua na GPA ya Tano.
Pili kwanini architect ndio kiongozi kwenye ujenzi na sio Engineer Wala Qs

Ukijibu hayo tunaweza kwenda sawa
Hii ni kutokana na Client Kumfata Architect kuhusu Mchoro na mwisho wa Siku structure inatakiwa iwe kama alivoonesha Architect
 
Huyo jamaa architect ameniacha hoi Sasa kama structural analysis anafanya,kwa nini structural drawings wapewe wengine architect asimalize? Anazingua huyo jamaa michoro yote ikiwemo ya architects au structural inaweza badilika kulingana na nature ya site ndio maana kuna site instructions,management site meetings etc
Jamaa much Know.. anadhani Load Analysis ni rahisi kama anavyowaza!
 
Achana na uzungu wa ramani kama hali ya pesa bado haipo vizuri sana, ita fundi mwambie nataka vyumba hapa vitakaaje? atakupa majibu.

NB: USIPENDE KULALAMIKA LALAMIKA NA KUONYESHA ULIMWENGU KUWA UNA NJAA, UNGEULIZA TU KAMA UNAWEZA PATA MTU WA KUKUCHOREA RAMANI KWA 100,000 AU CHINI, UNGEPEWA MAJIBU MAZURI TU.
Hawa jamaa wasipoambiwa ukweli wataendelea kutapeli wananchi. So hii ni alamu kwa watu wengine wenye shida ya kujenga na hawana ramani
 
Back
Top Bottom