Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe leo baada ya Kichapo ndiyo unajua kuwa Ligi ni Marathon?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,646
109,032
"Ligi Kuu ni Marathon hivyo bado Michezo iko mingi na huu wa leo ndiyo Kwanza wa Nne hivyo msiwe na wasiwasi" amesema Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe akiongea na Waandishi wa Habari baada ya Kichapo cha Mbarali leo.

Hivi Wewe Ali Kamwe ( Msemaji wa Yanga SC ) na wana Yanga SC Wenzako ukiongozwa na Yule Kigelegele siyo nyie mlipokuwa EA Radio ( Kipindi cha Michezo cha Kipyenga ) si mlisema tena Wewe ( Ali Kamwe ) ukitamba na kusema kuwa Yanga SC ya Master Gamondi haitofungwa na bado hujaona Timu ya Kuwafungeni Yanga SC yako?

Kudadadeki Asante mno tu Ihefu FC.
 
hizo ni propaganda tu sasa ulitaka asemeje?
 
de2a9bde706c49fcb5a69435963fb0e8.jpg
 
Back
Top Bottom