Baada ya kuwaona Al Ahly FC dhidi ya Mamelodi Sundowns FC leo je, GENTAMYCINE niliposema kuwa Yanga SC itawafunga Dar na Cairo nilikosea?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,642
109,014
Na kwa Kujiamini kabisa na leo tena narudia kusema (najua wana Simba SC Wenzangu mtaumia) kuwa kwa Al Ahly FC hii hii niliyoiona ikicheza hovyo dhidi ya Simba SC hapa Dar na Cairo na ilivyocheza leo na Mamelodi Sundown FC huku Kiwango chao Kikipungua itaenda Kufungwa na Yanga SC ambayo kwa sasa iko katika Fomu na inacheza Mpira wa Kiushindi, Uhakika na wa Malengo bila kusahau wa Kimkakati pia.

Huyu Kocha Mkuu wa Al Ahly FC akimaliza Wiki ijayo kama hajafukuzwa basi nitaogelea (nitapiga Mbizi) kutoka Magogoni Feri hadi Kigamboni.
 
Kweli ni km wadhaifu hivi na nikama wamechezwa nusu wanja huku wakinusurika magoli ya wazi kabisa
Fatigue wao wamekuwa na safari ndefu kutoka Cairo to Dar then Dar to Cairo halafu Cairo to Pretoria safari zote hizo zimefanyika ndani ya siku 8 tu.

Lakini pia Mamelod Sundowns always wanakuwa mwiba kwa Al Ahly hapo Pretoria.

Jichanganye upeleke timu yako wakiwa kwenye utimamu utajua hujui.

Al Ahly watafuzu hatua ya Fainali kwenye hili kombe.
 
Screenshot_20231027-082303.jpg
 
Dhambi ndogo ndogo zitawapeleka wengi motoni.

Mbona zimesalia week chache tu mchezo uchezwe.
Kwanini uteseke na kujipa uungu ndani yako

Muda ndiye hakimu wa Kweli yeye huwa anahukumu kwa haki yote

Muda ndio utatwambia ukweli na si vibwengo na ushirikina.

PATHETIC
 
Na kwa Kujiamini kabisa na leo tena narudia kusema ( najua wana Simba SC Wenzangu mtaumia ) kuwa kwa Al Ahly FC hii hii niliyoiona ikicheza hovyo dhidi ya Simba SC hapa Dar na Cairo na ilivyocheza leo na Mamelodi Sundown FC huku Kiwango chao Kikipungua itaenda Kufungwa na Yanga SC ambayo kwa sasa iko katika Fomu na inacheza Mpira wa Kiushindi, Uhakika na wa Malengo bila kusahau wa Kimkakati pia.

Huyu Kocha Mkuu wa Al Ahly FC akimaliza Wiki ijayo kama hajafukuzwa basi nitaogelea ( nitapiga Mbizi ) kutoka Magogoni Feri hadi Kigamboni.
Siku zote IQ yako inaona mbali sana mathalani tabiri zako za nyuma kwa mambo mbalimbali, tahadhari, makatazo na maangalizo yako huwa na mantiki sana, na katika hili la YANGA kumfunga AL AHALY CAIRO sina shaka litatimia pasina tashwishwi yeyote....
 
Na kwa Kujiamini kabisa na leo tena narudia kusema ( najua wana Simba SC Wenzangu mtaumia ) kuwa kwa Al Ahly FC hii hii niliyoiona ikicheza hovyo dhidi ya Simba SC hapa Dar na Cairo na ilivyocheza leo na Mamelodi Sundown FC huku Kiwango chao Kikipungua itaenda Kufungwa na Yanga SC ambayo kwa sasa iko katika Fomu na inacheza Mpira wa Kiushindi, Uhakika na wa Malengo bila kusahau wa Kimkakati pia.

Huyu Kocha Mkuu wa Al Ahly FC akimaliza Wiki ijayo kama hajafukuzwa basi nitaogelea ( nitapiga Mbizi ) kutoka Magogoni Feri hadi Kigamboni.
Tuweke dau nina milioni hapa kama yanga watashinda mechi zote mbili
 
Na kwa Kujiamini kabisa na leo tena narudia kusema ( najua wana Simba SC Wenzangu mtaumia ) kuwa kwa Al Ahly FC hii hii niliyoiona ikicheza hovyo dhidi ya Simba SC hapa Dar na Cairo na ilivyocheza leo na Mamelodi Sundown FC huku Kiwango chao Kikipungua itaenda Kufungwa na Yanga SC ambayo kwa sasa iko katika Fomu na inacheza Mpira wa Kiushindi, Uhakika na wa Malengo bila kusahau wa Kimkakati pia.

Huyu Kocha Mkuu wa Al Ahly FC akimaliza Wiki ijayo kama hajafukuzwa basi nitaogelea ( nitapiga Mbizi ) kutoka Magogoni Feri hadi Kigamboni.
Unazungumzia yanga ipi ya kumfunga Al ahly? Kama ni yanga hii hii iliyofungwa na ihefu ya ibaruku, utakuwa unaota.
 
Ukiacha kurudiarudia hizo picha,na kuna jipya unaloandika hapa jf?

Nimeandika nyizi nyingu na nina likes nyingi kuliko mtu yoyote kwenye jukwaa la michezo.

Nimeandika uzi ambao ni Ecyclopedia Reference ya simba.

(Viongozi walinishukuru na kuahidi kuufanyia kazi)

Na ninafanya kazi zangu na nikipata muda huwa nafanya online na part time Consultation na simba.

Una la zidi.
 
unalike nyingi.

kweli nyie ni mbumbumbu fc kweli kweli.
 
Back
Top Bottom