Mwasita Moja
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,903
- 2,580
Wachaga mnapenda sifa tu lkn hamna kitu kabisa.
Kila siku utasikia Moshi imeendelea ooh imendelea.
Sasa kwa taarifa yenu Tanga imeendelea kuliko Kilimanjaro.
Tanga ni jiji while Moshi ni manispaa.
Kwa taarifa yenu hata Dodoma itakuwa jiji first kabla ya Kilimanjaro!!!
Mmekalia kujisifu wenzenu wanapiga kazi .
Kaeni hivyo hivyooooo.
Kama kunywa mbege ndio maendeleo hapo sawa