Wachaga ni Noma!


Mkuu yapo

i. Wachagga
ii. Wahaya
iii. Wanyakyusa
iv.
v.

Malizieni hayo mawili
 
Mpiga domo usijali nitakujiri uwe mpambe wangu...........manake unavyojuwa kufagilia!!!??? hiv wewe roho yako imesuuzika livyoona watu wanaedesha magari ya kifahari.....kwe umbulula

wacha wivu wa kijinga,.
 
Mpiga domo usijali nitakujiri uwe mpambe wangu...........manake unavyojuwa kufagilia!!!??? hiv wewe roho yako imesuuzika livyoona watu wanaedesha magari ya kifahari.....kwe umbulula

sio magari tu ya kifahari sikutaka tu kuwachoma mioyo yenu ma'haters kwa kutaja maghorofa na barabara nzuri nilizizoziona kijijini marangu
 
Du!hebu niunganishie kwa Manka au Haika anipe raha.

kumpata manka au haika inabidi kujipangaaaaaa, ohoooooo

inabidi uwe una ramani za maisha zinazoeleweka tena si mchezoo
 

nafikiri maeneo ya kimara yatakuwa kimya kidogo....
 
Ngoja nipande na Pipe yangu ya 2013 kama hawataficha zao mgigombani au kutimkia walikotoka.
 

Sasa we kama ulikuwa huwajui wale wanaoiba huku mjini wakapeleka vijijini!
Sasa umeshawajua!
 
Usicheke. Mi mwenyewe mtu wa maslahi.
Nakuja huko kuchukua Familia yangu, kama bado uko huko kesho natua, ntakuwa weruweru lodge.

mkuu karibu sana na hongera kwa kuoa mchaga mimi nimefikia marangu mtoni na nitakuwepo hadi jumapili.

weruweru lodge ipo maili sita nyuma kidogo ya moshi mjini ukitokea barabara ya moshi-arusha karibia na njia panda ya kwenda machame
 
Nyie wa kuja ndo hamjui! Sisi tunajua! Walioko huku Kilimanjaro tunajua kuwa wengi hukodisha hayo mnayoyaita ma range na nini sijui! Ngoja lipate ajali ndo utajua lake ama vipi!

Acha wivu wa "kike" tafuta hela.
 
ungekuja usukumani ungezimia magari ni lundo,hata ndege zinakera kwa kujazana angani!
 
sifia mchaga uone comment za kijinga, kwani makabila mengine hakuna magari acheni, umetokea mkoa gani hadi unashangaaaaaaaaaaa magari nyambafu

Kaka punguza hasira, ha ha ha,umeviiimba!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…