mpiga domo
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 852
- 1,507
- Thread starter
-
- #101
Mikoko ni matokeo ya huko wanakotokea.
Kwa siku 10 tu Kilimanjaro inàinngiza Bilions of money. Watu wa statistics kazi kwenu. Ukweli ni kwamba Kili. vijijini watu wanaishi decent life kuliko miji mingi ya Tanzania
Mkuu Lokissa kiukweli hiyo mijengo kule ni mwisho!mbona wazungumzia magari pekee
hujaona hiyo mijengo ya kufa mtu,mahoteli na barabara za kumwaga?
Moshi pekee tanzania wamejitahidi hata vijijini kumepangika
hawabanani kama dar na kila mtu ana njia yake ya kuingia kwake hata zimamoto zinafika bila shida ndani kabisa huko
Shemejiiiii!True Story kaka, wengine kwenda kijijini kwetu njian unabadilisha mabasi kama sita na barabara ni zile za vumbi na vijumba ni vile vya udongo
Mkuu Lokissa kiukweli hiyo mijengo kule ni mwisho!
Nikiwa DTV, alipokufa mfanyakazi mwenzetu Amina Mongi (RIP) tukatia timu Marangu!, kufuatia ugeni mkubwa kule baadhi ya Wanamarangu akiwemo Dudley Mawalla, wakatoa acess ya mijengo yao ku host waombolezaji, mimi na baadhi yetu tukapangiwa kufikia nyumbani Dudley hapo Marangu!, mjengo ni balaa!. Ni mgorofa white umepanda kama ikulu!, kila chumba self na TV ya dish kule kijijini!, ememe, maji ni ya bomba hadi hot water!, jumba lote linaishi na mlinzi tuu mwaka mzima ni krismass mpaka krismasi au ukitokea msiba au shughuli ya kumrudisha mmiliki!. Hayo mahoteli ya huko, ikiwemo Capricon, Nakara etc usipime!. Barabara ni lami safi!. Hali ya hewa AC natural!, ukiimagine kule kijijini kwetu mashishokholokubangashee!, Nyumba za udongo zilizoezekwa kwa nyasi!, umeme umepita barabarani tuu tukiangalia waya!, maji ya ya kisima rangi ya udongo!, barabara ni vumbi tupu!, unabaki unajiuliza hivi ni Tanzaniaa hii hii?!.
Pasco
Shemejiiiii!
Nyie wa kuja ndo hamjui! Sisi tunajua! Walioko huku Kilimanjaro tunajua kuwa wengi hukodisha hayo mnayoyaita ma range na nini sijui! Ngoja lipate ajali ndo utajua lake ama vipi!
Wachaga walioanzisha chadema!
Thubutuuu... Nani akupe vogue sport take ukatese nayo migombani? Jamaa wako vizuri bana
sifia mchaga uone comment za kijinga, kwani makabila mengine hakuna magari acheni, umetokea mkoa gani hadi unashangaaaaaaaaaaa magari nyambafu
Habari hizi za wachaga kila mwaka zinajirudia kwa swaga zile zile, mara kuna foleni za magari, mara watu wengi. Hoja ya kujiuliza hivi hakuna mchaga mwenye camera au cmu yenye camera atuwekee hapa picha na afafanue ni wapi zipo hizo foleni.
Kama kweli kuna foleni kwa nini hakuna chombo cha habari hata kimoja kinachoripoti hayo matukio ie ITV, badala yake vyombo vinaripoti msongamano wa abiria kwa kutumia usafiri wa mabasi tu. Ambapo hata wenyeji wa mikoa mingine wanaface hiyo changamoto. Ingependeza kinachozungumzwa kiwekwe na picha au camera hazifanyi kazi huko nipo huku kwa muda ingawa si mwenyeji wa huku na sioni kinachosemwa hapa.
Thubutuuu... Nani akupe vogue sport take ukatese nayo migombani? Jamaa wako vizuri bana
Mkuu jaribu kuficha ushamba wako, kwa sasa mbona hiyo gari ni ya kawaida sana? Hakuna kabila lenye washamba kama wachaga
Mbona ubungo itv imetangaza habari ya msongamano wa abiria, sikuelewi unavyosema ukabila wakati hiyo ni habari ya kawaida, kila kabila ni watafutaji au wewe kabila lako si mtafutaji.kaka acha ku'hate unataka ITV watangaze jinsi mikoko ya maana ilivyojaa moshi ili muanze kuwa'lable na wao wakabila, kwenye ukweli ukweli ongea ukweli mimi sio mchaga lakini nimewakubali hawa jamaa ni watafutaji na pesa wanazooo
Mbona ubungo itv imetangaza habari ya msongamano wa abiria, sikuelewi unavyosema ukabila wakati hiyo ni habari ya kawaida, kila kabila ni watafutaji au wewe kabila lako si mtafutaji.
Mkuu jaribu kuficha ushamba wako, kwa sasa mbona hiyo gari ni ya kawaida sana? Hakuna kabila lenye washamba kama wachaga
mkuu ni wewe tarimo mwenye pin point ya arusha..???
Big up mkuu naonaga range yako imepaki pale nje wakat nikipitaga kwenda twn na ka'subaru changu, lol
nasikia rombo napo mambo ni yale yale kama marangu, matajiri wanafyatua ma'bastola juu kusheherekea na ndafu wanauzika si mchezo
u r right mkuu. Mi niko bk na kuna wageni wengi tu wamefika na mikoko ya maana lakini sijaona ushabiki wa kishamba kama huo wa huko kwa akina mangi