Wachaga ni Noma!

Jogoolashamba, mji utawika kweli?

Kweli aisee mimi jibu nakuachia wewe tukalitafute huko Ngurudoto! Au basi chagua wewe kwa sababu mie kazi yangu ni kuwika tu, hata porini ukitaka.
 
Ila shida wanarogana sana. Takribani kila nyumba ina zezeta ndani. Wao wanaita MAFUSO.
 
Great to be back in JF, i had a great time too in Marangu Kilimanjaro for my 2014 christmass, beautiful people lovely weather
 
Go east go west home is the best...xmass inapoisha unatamani nyingine ifike, ndio mda wa kurepea nyumba, kupaka rangi upya, kula nyama za kutosha, kupaki gari nzuri na kadhalika, hii kitu ipo sana Japan, wanaita Golden week.
 

Aisee unaongelea baadhi tu, wengi wana pesa zao mkuu, Kilimanjaro ndio mkoa ambao umejengwa mijengo mizuri hadi vijijini ndani, hayo yote unayosema yapo kila mahali, watu wameenda shule, wana biashara zao, kumiliki nyumba na Magari sio kitu cha ajabu kama una biashara zinaingiza pesa
 
Mnaoponda acheni wivu, igeni Yale mazuri, kwangu Mimi hakuna kitu kizuri kama kula xmass na wazazi na ndugu zangu nyumbani moshi
 

Kweli mkuu, makabila mengi tu watu wana pesa nyingi, tatizo ni utamaduni wa kujenga nyumbani na kwenda kufurahia sikukuu na wazee wetu. Makabila mengine waige mfano huu, kama ni Magari kila kabila yapo
 
Nyie wa kuja ndo hamjui! Sisi tunajua! Walioko huku Kilimanjaro tunajua kuwa wengi hukodisha hayo mnayoyaita ma range na nini sijui! Ngoja lipate ajali ndo utajua lake ama vipi!

Hahahahahaaaaaaa. Kumbe eehh.!!
 
Ni kweli wachagga wengi ni wachapa kazi na tena ni wavumilivu sana. Utakuta mchagga ana millioni 200 lakini amechafuka vumbi na anafanya kazi kwenye jua kali, anatembea kwa miguu umbali mrefu mpaka unajiuliza sasa huyu jamaa vp? Lakini anajua afanyacho. Ila nawashauri kuwekeza kwenye biashara kubwa zaidi na kuachana na biashara ndogondogo za kuuza na kununua wakati mtu una miliioni 800!
 

Marangu ipi mtoni au?
 
Nyie wa kuja ndo hamjui! Sisi tunajua! Walioko huku Kilimanjaro tunajua kuwa wengi hukodisha hayo mnayoyaita ma range na nini sijui! Ngoja lipate ajali ndo utajua lake ama vipi!

Unafiki tuu umekujaa
 
Hizi tabia za kujipa promo nilidhani anazo mzee Mengi tu kumbe ndo utamaduni wa Kabila lake? Duh
 
Mi naishi njia panda HIMO na sio mchanaga ila jamaa tuwape salute.zinazokata kushoro (machame,KIBOSHO,uru,old moshi)ni noma.Julia(kilema,marangu,mwika,rombo,)ni noma zaidi.big up chanagaz
 
Aise wachagga wamejitahidi kwa kweli ....
Kila kijiji kina umeme.....yaani migombani huko ni majumba ya ukweli tu.....alafu cha kuchekesha hayana mtu zaidi ya mfanyakazi...tu......
 

Hayo magari wanakodi huku wengine mpaka leo hawajarudisha kisa wakaweke heshima matambikoni huko
 
Ila Nyerere ndio aliwamaliza kabisa wangekuwa first world sasa. Hawa jamaa wamekuwa diluted sana na watu wengine ili twende pamoja kama alivyosema Mwalimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…