Tuje kwenye reality. Is there any necessity to hire a massive car just for show off? Kama wewe ni mtafutaji huitaji watu wakusifu kwa hizo gari bali kwa wewe the way you are! Huo ni ushamba! Mkuu amini hawa jamaa wana nyumba za hatari huku kwao! Hawawezi kulala humo! Kwao siku hizi wamezidisha mataahira (sio wote)! Logwa umwambie mzee wa kichaga kuwa unampeleka dar kwa matibabu! Thubutu!
mimi nilishawakubali siku nyingi wachaga,wana spirit ya ajabu kwenye kusaka maendeleo,si wanawake si wanaume..wajomba zangu na mama zangu wazaramo kutwa kushinda barazani kumpiga majungu mayasa na sikuzani![/QU asante!!
Mchaga anavyozaliwa tayari ana Diploma ya Business Administration
I proud to be a chagga, nimemaliza kadegree kangu mwaka huu, nataka baada ya miaka 5 nikae na wazee na mimi niongee bse uchagani bila nyumba na pesa unaonekana ---- tu....ngoja nikapigane aisee
I proud to be a chagga, nimemaliza kadegree kangu mwaka huu, nataka baada ya miaka 5 nikae na wazee na mimi niongee bse uchagani bila nyumba na pesa unaonekana ---- tu....ngoja nikapigane aisee
Moja ya kitu wanachopatia ni kukumbuka nyumbani na kutosahau elimu.
Kwahilo wanastahili pongezi.
Wewe kabila gani mbona unalilia sana au ndio wale chuma ulete...Ukapiganee? Au ukaibe serikalini!?
Hebu tuweke sawa hapo!!
Nanyie mkifanya hivyo nahuhakika next time kila mtu ataongeza juhudi kwenye utafutaji.Hapo maendeleo yatakuwa yakwenu nasiyamwingine.Sababu nyingine ninayoiona wengi wanakuja kutambiana na kuchapana bakora za macho na moyoni.