mpiga domo
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 852
- 1,507
- Thread starter
-
- #181
ungekuja usukumani ungezimia magari ni lundo,hata ndege zinakera kwa kujazana angani!
Mkuu jaribu kuficha ushamba wako, kwa sasa mbona hiyo gari ni ya kawaida sana? Hakuna kabila lenye washamba kama wachaga
Kaka punguza hasira, ha ha ha,umeviiimba!!
njmejifunza kuwa wachaga ni mfano wa kuigwa na makabila mengine ambayo yapo nyuma kimaendeleo
aeka mbe,Ndumi nakuninge mbora!
ngashituka
Nyie wa kuja ndo hamjui! Sisi tunajua! Walioko huku Kilimanjaro tunajua kuwa wengi hukodisha hayo mnayoyaita ma range na nini sijui! Ngoja lipate ajali ndo utajua lake ama vipi!
Hata makabila mengine wana hayo magari na maisha mazuri sana, ila wengi wao wakishafanikiwa hawarudi makwao tena hawapapendi, hata watoto wao utakuta wanajitapa kijinga eti ooh unajua mimi asili yangu ni Namtumbo lakini sijawahi kufika, you know even My Dad ame settle hapahapa Dar. Sasa ndio hawa wakifika kwa wachaga wanashangaa nakuweka POST JF. Nilishawahi kufika sehemu moja Moro kwao na jamaa yangu kwakweli nilisikitika sana maana Hadhi na mali walizonazo Dar haziendani na kwao, tena Grandparents wote wapo lakini wanapoishi sasa!!!1 Jamaa akaanza kujibalaguza kwakusema eti Baba yake kawashawishi sana wazee hao kuhamia Dar ila wamegoma. Wachagga wana invest Mjini lakini wanahakikisha wanajenga kwao tena nyumba ya maana na wenzake wakiona mjengo nao wanahakikisha wanajenga na ndio maana kunazidi kuwa pazuri sana. WANA SPIRIT YA MAENDELEO NA ZAIDI WANAPAPENDA SANA KWAO . Tuige kutoka kwao. Makabila yote TZ tungekuwa kama hawa jamaa na makabila ya mbeya na Kagera basi kwa kiasi fulani tusingekuwa hapa. PIA TUACHE KUWAPIGA MAJUNGU ETI SERIKALI INAPAPENDELEA KWAO, WAKATI WAO NDIO WANAOPAPENDA KWAO.
Chunga tu wasikufundishe kuiba.Wakuu mimi si mchaga ila nimemsindikiza jana rafiki yangu huko kwao kilimanjaro.
Sasa nipo huku marangu, ilaa sasa hizi gari ninaziona huku ni balaa yan utafikiri nipo mjini dar es salaam kumbe ni kijijin marangu.
Range Rover Sports hizi za mwaka 2012 nimeshaziona kama nane hadi sa hivi, nimeona pia mikoko ya bmw x6 kwa wingi , yan kwa ufupi kuna gari za kufa mtuuuuuuu.
Big up sana wachaga mpo vizuri kwenye kutafuta dough.
Naomba Kuwasilisha
Chunga tu wasikufundishe kuiba.
Umenena mkuu! ila wazaramo huwa wananifurahisha kwa ukomedi: si umeshasikia story mtu anatoka Posta kwenda Banana halafu anapitiliza hadi Gongo la mboto kisa nauli yake iishe. Halafu anarudi kwa miguu banana. " Mwee Nimemkomoa dereva leo!!"mimi nilishawakubali siku nyingi wachaga,wana spirit ya ajabu kwenye kusaka maendeleo,si wanawake si wanaume..wajomba zangu na mama zangu wazaramo kutwa kushinda barazani kumpiga majungu mayasa na sikuzani!
Wakuu mimi si mchaga ila nimemsindikiza jana rafiki yangu huko kwao kilimanjaro.
Sasa nipo huku marangu, ilaa sasa hizi gari ninaziona huku ni balaa yan utafikiri nipo mjini dar es salaam kumbe ni kijijin marangu.
Range Rover Sports hizi za mwaka 2012 nimeshaziona kama nane hadi sa hivi, nimeona pia mikoko ya bmw x6 kwa wingi , yan kwa ufupi kuna gari za kufa mtuuuuuuu.
Big up sana wachaga mpo vizuri kwenye kutafuta dough.
Naomba Kuwasilisha