mpiga domo
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 852
- 1,502
Wakuu mimi si mchaga ila nimemsindikiza jana rafiki yangu huko kwao kilimanjaro.
Sasa nipo huku marangu, ilaa sasa hizi gari ninaziona huku ni balaa yan utafikiri nipo mjini dar es salaam kumbe ni kijijin marangu.
Range Rover Sports hizi za mwaka 2012 nimeshaziona kama nane hadi sa hivi, nimeona pia mikoko ya bmw x6 kwa wingi , yan kwa ufupi kuna gari za kufa mtuuuuuuu.
Big up sana wachaga mpo vizuri kwenye kutafuta dough.
Naomba Kuwasilisha