Wabunge wenye hali mbaya "Uchaguzi 2020"

Wabunge wenye hali mbaya "Uchaguzi 2020"

Mkuu tuwe fair ili tuwasaidie baadhi ya wabunge wetu tunaowapenda, tukileta mahaba hatutawasaidia.
Ukweli ni kwamba majimbo mengi ya vijijidi kama kwa lusinde bado yataendelea kubaki ccm kwa sababu nyepesi tu - uelewa wa watu huko bado ni mdogo, na pia mahaba yao kwa chama tawala ni ya kihistoria!.
Tukirudi kwenye majimbo ya mijini, hasa majiji makubwa huko watu wengi huwa hawana msimamo - wanapenda kumuona mbunge wao yupo active ktk kuwaondolea kero zao mbalmbal (bunge lililopita mnyika alifanya vzr eneo hili, hasa kero ya maji ubungo).
Majimbo ya mijini wapiga kura huwa ni vigumu kdg kuwadanganya (mjini shule!)
Kwa maoni yangu, wapinzani wengi mpaka sasa bado hawajafanya vzr majimboni mwao - na wakiendelea na "kasi" hii 2020 wengi watapukutika bungeni!!
Kwa upande wa chama tawala wao kdg ni tofauti, baadhi wanaweza kusalimika kwa upepo wa ngosha, ikumbukwe ngosha kwa kasi hii 2020 Mungu akituweka hai hatakuwa na mpinzani!!
Acha unazi ww ..inaonyesha ww ni Lumumba
 
Kuna mbunge wa CCM kuleee segerea alinipa mpaka papuchi ili nisaini matokeo ya uongo waliyochakachua..magundi nikampakaza tena kwenye gari na matokeo sikusaini lakini eti akatangazwa kashinda...
Tutaaminije hayo magundi hukupakwa wewe?
 
Mbatia kule Vunjo, wale wachaga hawana huruma ... haijawahi tokea mbunge akaongoza kwa miaka 10 mfululizo.... Jimbo hili ni mwisho wa matatizo..... Wachagga hawa wa Vunjo inaonekana huwa Hawaangalii mtu usoni.... ukibugi umebugi.....
 
Haahaa watanzania bana,yaani mnavotoa mawazo yenu,utafikiri nyie ndio wapiga kura maeneo yao.
 
stella manyanya na martin msuha sijui kama watarudi labda rushwa ihalalishwe rasmi 2020. hao ni wabunge wa majimbo ya nyasa na mbinga mashariki mkoani ruvuma.
 
Yule George Huruma Mkuchika hawezi kurudi,maana yeye sasa amejivisha rasmi jukumu la kuwaadhibu wabunge wa upinzani kupitia uenyekiti wake kwenye kamati ya maadili badala ya kuwakilisha wapiga kura wake wa Nachingwea(kama sijakosea)
 
Ni mapema sana kuanza kupiga ramli sasa hivi kwamba nani atarudi au hatorudi bungeni mwaka 2020. Wapigakura wengi wanaongozwa na matukio. Hatujui nini kitatokea between now mpaka 2020.
 
Tundu lissu.yupo taabani.yupo bize na maswala ya kina bashite.na kutetea accasia.hajafanya lolote ktk jimbo letu.
 
"TATHMINI MAJIMBONI"

Mpaka tulipo fika sisi kama wananchi ni hakika kua tunaweza kutathmini hali halisi ya Utendaji wa Wabunge kwmye Majimbo yetu na hata Bungeni .

Embu kwa pamoja tujaribu kuyapitia majimbo ya wabunge ambao wapo kwenye Possibility kubwa ya kutokushinda tena 2020.
Na ni sababu vipi zitawafanya wabunge hao kupoteza majimbo yao ? .
Lengo.
1.Kuwapa Alert Wabunge husika kua active.(bado wana kamda)

2.Kuaanda watu wenye nia ya kugombania Ubunge 2020 kuyafahamu majimbo dhaifu mapema.

Ahsanteni.
Mkuu kuongelea uchaguzi wa miaka mitatu ijayo ni kupoteza muda, muda huo unatosha kugeuza mambo mengi kinyume na fikra za watu. twendeni tukafanye kazi, muda wa uchaguzi ukifika tutapiga kura kulingana na mahitaji ya wakati
 
"TATHMINI MAJIMBONI"

Mpaka tulipo fika sisi kama wananchi ni hakika kua tunaweza kutathmini hali halisi ya Utendaji wa Wabunge kwmye Majimbo yetu na hata Bungeni .

Embu kwa pamoja tujaribu kuyapitia majimbo ya wabunge ambao wapo kwenye Possibility kubwa ya kutokushinda tena 2020.
Na ni sababu vipi zitawafanya wabunge hao kupoteza majimbo yao ? .
Lengo.
1.Kuwapa Alert Wabunge husika kua active.(bado wana kamda)

2.Kuaanda watu wenye nia ya kugombania Ubunge 2020 kuyafahamu majimbo dhaifu mapema.

Ahsanteni.
Mzee wa kutishiwa bastola Nape Nnauye kikwel nae yuko ktk hali tete..
kiukweli makao makuu ya jimbo lake(Mtama)
wananchi wengi hawamtaki hata kumuona, hakuna afanyalo jimboni kwake..
Toka kapata ubunge 2015 ndo kwanza kafika mwaka huu baada ya kutumbuliw na mkulu na hakufikia jimboni pake. Hii ni kuonesha dhahiri kuwa wananchi hawammaindi.
We bwana ww kiukweli ujipange sana 2020 la sivyo utamwagwa manyanga.
 
Back
Top Bottom