Wabunge wenye hali mbaya "Uchaguzi 2020"

Wewe ndio unamchukia kwa wivu wako wa kike sisi tutamchagua.
Sina wivu mkuu ungejua napenda sana wanawake washike nafac za juu lakin wawajibike kwa nafasi hizo..na yy anajua ajihoji LA! abadirike time is still on her side.ni hayo tu.
 
Upinzani ikipata viti kumi 20/20 wakatambilke
Naona ujui siasa upinzani umekua ukiongeza viti kila uchanguzi na hii imejengea hofu chama tawala. Kwaiyo pamoja na ccm kuiba kuls wsnaoaswa wajiulize ni nani atapungua uchaguzi ujao lkn pamoja na ilo mwakyembe akirudi at a pamoja na uwizi wa kula naacha siasa
Ndugai 2015 alimtandika mtu bakora,2020 atamkong'ota mtu rungu kabisa kuhakikisha anarudi mjengoni!
 
Mkuu tuwe fair ili tuwasaidie baadhi ya wabunge wetu tunaowapenda, tukileta mahaba hatutawasaidia.
Ukweli ni kwamba majimbo mengi ya vijijidi kama kwa lusinde bado yataendelea kubaki ccm kwa sababu nyepesi tu - uelewa wa watu huko bado ni mdogo, na pia mahaba yao kwa chama tawala ni ya kihistoria!.
Tukirudi kwenye majimbo ya mijini, hasa majiji makubwa huko watu wengi huwa hawana msimamo - wanapenda kumuona mbunge wao yupo active ktk kuwaondolea kero zao mbalmbal (bunge lililopita mnyika alifanya vzr eneo hili, hasa kero ya maji ubungo).
Majimbo ya mijini wapiga kura huwa ni vigumu kdg kuwadanganya (mjini shule!)
Kwa maoni yangu, wapinzani wengi mpaka sasa bado hawajafanya vzr majimboni mwao - na wakiendelea na "kasi" hii 2020 wengi watapukutika bungeni!!
Kwa upande wa chama tawala wao kdg ni tofauti, baadhi wanaweza kusalimika kwa upepo wa ngosha, ikumbukwe ngosha kwa kasi hii 2020 Mungu akituweka hai hatakuwa na mpinzani!!
upo sahihi mkuu huyuhuyu lusinde wakati yupo chama flani hata kura moja alikuwa hapati alivohamia ccm tu anapita bila kupingwa
 
Msukuma, Bashe na Nape hawa hawatarudi watakatwa kwenye kura za maoni. Watafanyiwa vigisu vigisu. Wamwulize Anne kilango malechela na Ole sendeka
 
Sijui kwa majina ila naona zaidi ya 45% ya wabunge wa ccm hawatarud au zitarud sura mpya kabisa....
 
Tatizo hapa ushabiki sio hoja...mngekuja na hoja sawa..ila huu ubabaishaji wenu wa uchama tunaondoa mana halisi ya mjadala
 
Michale Jafari wa Moshi Mjini, Dr Moleli- Siha, Lema- Arusha, Mnyika- Kibamba, Mzee wa Jivisent....Hawa wanahitaji kukaza buti, tena sana
 
Dawa ya haya yote ni kuweka kikomo cha mtu kuwa mbunge katika nchi hii.
Ingekuwa kama rais tu kuwa ni vipindi viwili au vitatu basi.

Binafsi, nikitathimini, naona 90% hawana sifa wala hata kigezo kimoja cha kuendelea kuwa huko mjengoni.


Mfano, pana watu tangu nazaliwa hadi leo wako mjengoni ila majimboni mwao ni misiba na mateso.

Ila, hizi ramli zingine hazisaidii maana watanzania wengi ni wanafiki sana na utashangaa hao wote waliotajwa watarudi mjengoni tena kwa ushindi wa kishindo.
 
Mbunge wa Upinzani ambaye anapendwa kuliko Mwenyekiti wake wa Taifa, kwa sasa ni Mh Nasari Joshua... Huyu jamaa anapiga kazi acha tuu, hawa wa kitaifa no changamoto sana... Kwa kweli mda hii ni nzuri sana katika kujenga uhalisia. Wabunge wengi wanashindwa kuwatumikia wananchi kwa uhalisia. Pia itambulike Mbunge sio kupeleka huduma za kijamii bali ni kishawishi serikali kutekeleza wajibu wake kwa kuhakikisha huduma muhimu za kijamii zanawafikia wananchi wake. Sidhani kma mbunge makini anashindwa kuwa na kikao walau mara moja na wananch wake kila baada ya miezi mitatu lakini kwa kuwa wengi wapo kimaslahi basi baada ya ushindi hutokomea kusikojulikana....
 
Halima mdee nawe hawez rudi,binafsi nimechoka michezo yake hamna LA mana afanyalo yy kazi ugomvu,hatujamtuma ugomvi.
Punguza bangi kama hauwezi kuacha kabisa! Unaelewa anachokifanya Halima hata wewe pamoja na kuwa ni mwanaume (kama sijakosea!) Hauwezi kudhubutu kukifanya!
 
Jaffar Michael na Lema Godbless kuwatoa ni vigumu sana..tena sana.Hamna Ccm mwenye ubavu wa kuwashinda hao jamaa.
sijui lakini lazima wawe mstari wa mbele sana, tutambue raia wana nafasi ya fursa za mawazo mbadala, hivyo hawana budi kukaza buti....
 
Achemi kudanaganyana hapa wananchi hawawachagui wabunge kwa ubora wao bali kwa mahaba ya vyama wanavyo wakilisha ingekuwa mbunge anachaguliwa kwa ubora sioni popote msukuma ,lusinde na wa ccm kutoka znz ambao utafikiri wamechaguliwa bungeni kukaa kimya na kuunga mkono kila kitu wakichaguliwa tena!
 
sijui lakini lazima wawe mstari wa mbele sana, tutambue raia wana nafasi ya fursa za mawazo mbadala, hivyo hawana budi kukaza buti....
Jaffar Michael anaenda sambamba na ahadi alizoahidi likewise to Lema so utawaondoa kwa kigezo kipi?Na siasa za haya maeneo Ccm wanazitambua kua they are not wanted so watahitajika wafanye manouvre za ajabu ili kuwatoa hao jamaa wawili..Selasini ndo atakua na wakati mgumu maybe na huyo Dr Mollel pia na Anthony Komu.
 
Back
Top Bottom