MPAMBANAJI.COM
JF-Expert Member
- Mar 2, 2011
- 712
- 331
Punguza bangi kama hauwezi kuacha kabisa! Unaelewa anachokifanya Halima hata wewe pamoja na kuwa ni mwanaume (kama sijakosea!) Hauwezi kudhubutu kukifanya!
kwa waelewa, Halima Mdee na Ester B hakuna sababu ya kuwapa nafasi tena, wajiandae kuwa na familia, alafu warudi tena baada ya miaka 5 yaani 2025, kwa sasa nadhani wana double standards kati ya depression ya kuwahudumia wananchi na kuanza maisha ya ndoa, let us give them more time to adjust for effective family and civic accountability.