Wabunge wenye hali mbaya "Uchaguzi 2020"

Lusinde mtera nae cjui maana tumevumilia taarabu zake tumezichoka
Mkuu tuwe fair ili tuwasaidie baadhi ya wabunge wetu tunaowapenda, tukileta mahaba hatutawasaidia.
Ukweli ni kwamba majimbo mengi ya vijijidi kama kwa lusinde bado yataendelea kubaki ccm kwa sababu nyepesi tu - uelewa wa watu huko bado ni mdogo, na pia mahaba yao kwa chama tawala ni ya kihistoria!.
Tukirudi kwenye majimbo ya mijini, hasa majiji makubwa huko watu wengi huwa hawana msimamo - wanapenda kumuona mbunge wao yupo active ktk kuwaondolea kero zao mbalmbal (bunge lililopita mnyika alifanya vzr eneo hili, hasa kero ya maji ubungo).
Majimbo ya mijini wapiga kura huwa ni vigumu kdg kuwadanganya (mjini shule!)
Kwa maoni yangu, wapinzani wengi mpaka sasa bado hawajafanya vzr majimboni mwao - na wakiendelea na "kasi" hii 2020 wengi watapukutika bungeni!!
Kwa upande wa chama tawala wao kdg ni tofauti, baadhi wanaweza kusalimika kwa upepo wa ngosha, ikumbukwe ngosha kwa kasi hii 2020 Mungu akituweka hai hatakuwa na mpinzani!!
 
Sawa msukule wa Lumumba
 
Wabunge wa CCM wengi huiba kura uchakachuaji mtupu
Kuna mbunge wa CCM kuleee segerea alinipa mpaka papuchi ili nisaini matokeo ya uongo waliyochakachua..magundi nikampakaza tena kwenye gari na matokeo sikusaini lakini eti akatangazwa kashinda...
 
Wabunge 90% Wa CCM hakuna chochote kurudi labda wizi tena wa kura hakuna jinsi

Siasa ni deal tu. Ila we unaonekana huzijui siasa na wapiga Kura wa tz Kwa kipi unadhani hao wa CCM watashindwa. Maneno Ya insta. Kama huwezi Hata kupinga jambo moja La mbunge wa upinzani Hata akichemsha ujue umekosa mamlaka ya kutoa hoja na unaonekana shabiki. Kosoa Lakini kote. Pongez Lakini pia kote. Then you will have the Moral Authority to share your sound views
 
Ulimpigia kura 2015??
Nilikua mkoani sikumpgia binafsi na makazi huko jimbo la kawe,yaan mkuu ukiona yaliyopo huko utashangaa is it Dar es Salaam?hafai mkuu wanakawe inabid tu kufumbua macho kumkata hamna namna.
 
Mbunge Ester matiku wa Tarime mjini...naskia kazi yake ni kutoa maji ya kunywa misibani tu...huko anaeza someshwa namba
Huo nao ni mchango wa msiba ulitaka atoe K au?
Watu bana
Mtu anajishughulisha na shida za jamii yake wewe unambeza
Au we kwenu hamuendagi kwenye misiba na ukashiriki kuchota maji kwa wafiwa?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom