Nshonzi
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 3,057
- 1,882
MakofuriMdee, Bulaya, Mnyika, Lema
MakofuriMdee, Bulaya, Mnyika, Lema
unaumwa wewMdee, Bulaya, Mnyika, Lema
Karibu sana jfMnyika John harudi
Ndugu Mohamed Mchengerwa...Historia ya jimbo la rufiji huwa mbunge harudi mara mbili.....Maana wana kuwa na imani nae kubwa baadae wanakosa walicho tarajia..Ukitaka amini hilo...Mulize Dr Seif Rashid wazir wa Afya wa zamanimbunge wa rufiji sijuh
Mnyika John harudi
Wewe na nani na una kura ngapi binafsi za kumtengua mama kubwa kamanda Halima Mdee au ni wale wale wa Ndiyooooo!Halima mdee nawe hawez rudi,binafsi nimechoka michezo yake hamna LA mana afanyalo yy kazi ugomvu,hatujamtuma ugomvi.
Watanzania sisi ni washirikina sana, Hamuogopi Kupiga Ramli kweupe hivi...??
Rudia home work yako!Mdee, Bulaya, Mnyika, Lema
Naona kwa upande wa Tanzania bara bunge lijalo, likiwa na wapinzani wengi hawazidi wanne (4)
Nisipajue kawe tu hapo.wewe wa wapi?Hata jimboni kwake hupajui
Endeleen kusubiri embe chini ya mbuyuLwakatare tulimchagua sisi na bado tunaimani naye sana
Mkuu mbona unamahaba jiwe hayo sasa mdee anaifanyia nini kawe mimacho lakini huoni au unafurahishwa na utukutu wake tu kuwa mkweliWewe ndio unamchukia kwa wivu wako wa kike sisi tutamchagua.
Mtoa mada ana lengo zuri sana. lkn wachangiaji wengi humu wako kisiasa zaidi. mm nadhani ni vema wachangiaji wangekuwa wanatokea kwenye majimbo ya wabunge husika wanaowatolea maoni, maana unaweza kumuona mbunge bungeni lkn jimboni kwao anafanya mambo mazuri na watu wake wanamkubaliNdiyo, lakini sasa hampigii.
Na mimi simpigii kura.